Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
kamuombe baba yakeLeo namuombea ruhusa kwako 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamuombe baba yakeLeo namuombea ruhusa kwako 😂
Unitakii jemakamuombe baba yake
leo ni zamu ya baba mtuUnitakii jema
Hapana ase kwharleo ni zamu ya baba mtu
brother, sikuizi hela inaweza haribu mahusiano yoyote in two hours.Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu
Maisha yaliendelea tu vizuri sasa kuna siku kaniomba nimuazime pesa 30k alijua kabisa nina pesa na lengobla ile pesa kuitynza ilikuwa ni kununua kitu fulani kutoka nje nilikuwa namuagizia mtu akajiliza niazime siku ukitaka kuagiza ikishatimia pesa mm nitakupa nikamwambia usije niangusha nakupa
Nikampa vizuri kwa moyo wote ikapita kama wiki yule jamaa alieopo nje akanicall Mwachiluwi wiki ijayo mimi narudi kesho tuma iyo pesa nikaanze kukutafutia ili na mimi nifanye mambo yangu nimekubali wewe uniagize kwasababu tu tunaheshimiana nikamwambia poa
Sasa na mimi ile pesa nikawa nimeitumia tena kama 50k hivi nikarudi kwa mshikaji nikampanga akasema jioni nikasema poa mm natafuta ile 50k itimie 450k nikijua yeye 30k naipata jioni saa nne naenda sasa kuweka pesa kwa simu nitume pesa nampigia ananijibu nyodo
Eti 30k ndio itamaliza shida zako nikikupa tunavyo sumbuana ivyo ili hali anajua pesa naenda kufanyia nini nikaona huyu anijui hizi dharau nikamuwakia na sana tu baada ya hapo mpaka leo nikituma sms hana view tu hajibu na mimi nimeamua kumpotezea kabisa
Dah pole sana mke nae anaingiliaje hapo yaan naweza mpiga yeye na mke wakebrother, sikuizi hela inaweza haribu mahusiano yoyote in two hours.
mimi nilikuwa na rafiki kama ndugu au zaidi., takribani miaka 11 hivi ya urafiki tangu tupo shule mpaka chuo ad kila mtu ana familia yake
siku moja akaniomba 10K tu, nikamwambia nimebanana hapa, ila naeza kupa 8,500 coz nina hela ya mtu hapa ambayo itahitajika anytime from now. akasema fresh, kweli nikatuma 8,500/= but sikupata text ya uthibitisho, jamaa pia hakusema kama hela imefika...so nikaamua kurudia nikidhani pengine nilisahau kuthibitisha, this time text ikaja.
baada ya kama masaa mawili ndo nikatakiwa kumtumia yule mwenye hela, kutuma kumbe hela haitoshi...nikachek na service providers wakanambia kuna mtu nimemtumia hela 2 times., kuchek salio kweli hela haipo Tshs 8,500/=...bhana ikabidi nimuulize mwamba kama nilimzidishia, response ikawa hivi "NDIYO ULINITUMIA MARA MBILI, NILIDHANI UMEAMUA KUNIONGEZEA".
nikamwambia ningekuwa na salio la kukupa 17k ningetuma mara 1 tu, nisingetuma mara mbili...so nikaomba anirudishie Tsh 8,500/=. Hii ndo ilipelekea kutukanwa ad na mke wake et nina roho mbaya....since then hakuwahi ku respond kwa simu yangu na sasa ni miaka 3 taslim...CHEZEA HELA WEWE.!
Acha basiMwachiluwi mambo, heri ya mwaka mpya na pia nimejua ID yako yakujidai sio hii