Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

Tatizo nikisema naomba, hutanipa pia. Utaanza kujieleza 😅
Ahahah inategemeana na urafiki kuna mshikaji wangu mwingine yeye na
Nampigia simu nashida na 50k nakurudishia akituma nimeona mwamala nampigia namwambia hii pesa umetoa sada sikurudishii kabisa sahau ivyo yaani na yey akiomba nampa najua kabisa sitegemei kurudishiwa
 
Halafu hili swala la kukopeshana na uaminifu ndo nimekuja kuona linaleta utata kwa baadhi ya watu!, binafsi nikikopa lazima nirudishe kuna jamaa yangu nilimkopa na siku niliyoahidi nikamrudishia alishangaa akasema mbona nimewahi kurudisha!, kumbe yeye alitegemea labda nitamzungusha mpk nikashangaa nikaanza jiuliza kuna watu itakuwa wakikopeshwa wagumu kulipa!.
chengine usimkopeshe mtu kiasi unachojua atakusumbua kulipa!.
 
Kabisa uaminifu ziro
 
Kukopesha marafiki ni shida sana, mara nyingi huwa wanazingua.

Mimi rafiki akiniomba nimkopesha nachukulia ni kama ninempa tu. Kama naona simudu kumpa na kuisahau, basi simkopeshi.
Wewe kama mimi. Mimi mtu akiomba nimpe mkope, sikupi nikikupa nakupa ela ambayo usipolipa wala sitokudai. Mikopo inafanya urafiki unapotea kabsa.
 
Back
Top Bottom