Urafiki umekufa baada ya kudai pesa yangu

brother, sikuizi hela inaweza haribu mahusiano yoyote in two hours.

mimi nilikuwa na rafiki kama ndugu au zaidi., takribani miaka 11 hivi ya urafiki tangu tupo shule mpaka chuo ad kila mtu ana familia yake

siku moja akaniomba 10K tu, nikamwambia nimebanana hapa, ila naeza kupa 8,500 coz nina hela ya mtu hapa ambayo itahitajika anytime from now. akasema fresh, kweli nikatuma 8,500/= but sikupata text ya uthibitisho, jamaa pia hakusema kama hela imefika...so nikaamua kurudia nikidhani pengine nilisahau kuthibitisha, this time text ikaja.

baada ya kama masaa mawili ndo nikatakiwa kumtumia yule mwenye hela, kutuma kumbe hela haitoshi...nikachek na service providers wakanambia kuna mtu nimemtumia hela 2 times., kuchek salio kweli hela haipo Tshs 8,500/=...bhana ikabidi nimuulize mwamba kama nilimzidishia, response ikawa hivi "NDIYO ULINITUMIA MARA MBILI, NILIDHANI UMEAMUA KUNIONGEZEA".

nikamwambia ningekuwa na salio la kukupa 17k ningetuma mara 1 tu, nisingetuma mara mbili...so nikaomba anirudishie Tsh 8,500/=. Hii ndo ilipelekea kutukanwa ad na mke wake et nina roho mbaya....since then hakuwahi ku respond kwa simu yangu na sasa ni miaka 3 taslim...CHEZEA HELA WEWE.!
 
Dah pole sana mke nae anaingiliaje hapo yaan naweza mpiga yeye na mke wake
 
Ukitaka kumkopesha rafiki hela mkumbatie mara ya mwisho ndo kwaher urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…