Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Ila Kiba umezingua... Kumuita mtu aliyekuwa anakupromo all that time "kigagula" "ameexpire"... Damn!!
 
Mzee Malinzi utamtazama vipi usoni na mbaya zaidi kazi umesimamishwa.
 
Mzee Malinzi utamtazama vipi usoni na mabaya zaidi kazi umesimamishwa.
Mie siye Diva na hata Diva Simjui ila nimesoma hii sredi na haya ni maono yangu. Mimi ni mwanaume lakini sikubaliani na hoja za kivulana za mwanzisha Sredi. Ukipika uji wa moto ukaupopoa kwa pupa unakuunguza mdomo wako, hakujistahi Diva na mwajiri ana haki ya kumtimua. Lazima apambane na hali yake
 
Umeshasema machangudoa, mwanamke wa kawaida mwenye career yake unaanzaje kutangaza umetinduliwa tena na mme wa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ni vita ya mmalekani na Israel hapo muirani Diamond ana agiza na popcorn kabisa..
 
Sredi - Thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…