Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Ila Kiba umezingua... Kumuita mtu aliyekuwa anakupromo all that time "kigagula" "ameexpire"... Damn!!
 
Mawazo ya kitoto hayo! Diva has nothing to lose my dear! Kwani huwa hatuwatafuti machangudoa? Je, Kahwa meidi hawajulikani kuwa wanakongoliwa na wanaume wengi? Acheni utoto, mbona akina Wema wanataja wamelalwa na wanaume wengi? Anayepata mtiti ni Kiba kwa mke wake na ukweni. Hivi utaanzaje mwanaume kukashifu mwanamke uliyeweka dushe lako katika K yake na pengine ulilia sana mpaka akakuchunuku Tigo yake? Huu ni uvulana na dawa ya moto ni moto. Jino kwa jino
Mzee Malinzi utamtazama vipi usoni na mbaya zaidi kazi umesimamishwa.
 
Mzee Malinzi utamtazama vipi usoni na mabaya zaidi kazi umesimamishwa.
Mie siye Diva na hata Diva Simjui ila nimesoma hii sredi na haya ni maono yangu. Mimi ni mwanaume lakini sikubaliani na hoja za kivulana za mwanzisha Sredi. Ukipika uji wa moto ukaupopoa kwa pupa unakuunguza mdomo wako, hakujistahi Diva na mwajiri ana haki ya kumtimua. Lazima apambane na hali yake
 
Mawazo ya kitoto hayo! Diva has nothing to lose my dear! Kwani huwa hatuwatafuti machangudoa? Je, Kahwa meidi hawajulikani kuwa wanakongoliwa na wanaume wengi? Acheni utoto, mbona akina Wema wanataja wamelalwa na wanaume wengi? Anayepata mtiti ni Kiba kwa mke wake na ukweni. Hivi utaanzaje mwanaume kukashifu mwanamke uliyeweka dushe lako katika K yake na pengine ulilia sana mpaka akakuchunuku Tigo yake? Huu ni uvulana na dawa ya moto ni moto. Jino kwa jino
Umeshasema machangudoa, mwanamke wa kawaida mwenye career yake unaanzaje kutangaza umetinduliwa tena na mme wa mtu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ni vita ya mmalekani na Israel hapo muirani Diamond ana agiza na popcorn kabisa..
 
Mie siye Diva na hata Diva Simjui ila nimesoma hii sredi na haya ni maono yangu. Mimi ni mwanaume lakini sikubaliani na hoja za kivulana za mwanzisha Sredi. Ukipika uji wa moto ukaupopoa kwa pupa unakuunguza mdomo wako, hakujistahi Diva na mwajiri ana haki ya kumtimua. Lazima apambane na hali yake
Sredi - Thread
 
Back
Top Bottom