Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Diva ni skauti....siku zote skauti hufuata bendera....bendera ya mmakonde imepaa against ya tandale....skauti unadhani atapiga salut wapi
 
Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost baadhi ya screenshots zinazoonesha kuwa walikuwa ktk mahusiano na msanii huyo,baada ya kuvurugana majeshi yamehamia kwa kondeboy,post hizi hapaView attachment 1419768View attachment 1419770View attachment 1419771View attachment 1419772View attachment 1419773View attachment 1419774

Sent using Jamii Forums mobile app
Jezebel
 
Back
Top Bottom