Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
Duh mji mzito
Its not over until its over...[emoji769]
Its not over until its over...[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally nae wale wale tu ndio maana akawa na mahusiano na huyu mama.Ambaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
JezebelWatu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost baadhi ya screenshots zinazoonesha kuwa walikuwa ktk mahusiano na msanii huyo,baada ya kuvurugana majeshi yamehamia kwa kondeboy,post hizi hapaView attachment 1419768View attachment 1419770View attachment 1419771View attachment 1419772View attachment 1419773View attachment 1419774
Sent using Jamii Forums mobile app