Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

venance7

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
558
Reaction score
1,645
Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost baadhi ya screenshots zinazoonesha kuwa walikuwa ktk mahusiano na msanii huyo,baada ya kuvurugana majeshi yamehamia kwa kondeboy,post hizi hapa
Screenshot_20200415-140147.jpeg
Screenshot_20200415-140126.jpeg
Screenshot_20200415-140049.jpeg
Screenshot_20200415-140041.jpeg
Screenshot_20200415-140101.jpeg
Screenshot_20200415-140015.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMEANDIKA;
“Me and Ally we came along way since his return in the music world and yes both as friends n lowkey lovers kwa muda mrefu saaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .. i have evidence to Prove ndio @officialkilly_tz alikuwa ananiita mama na wengine wote ..since ninaona sasa story za ajabu zinazid maybe shuld be open so we end this drama ambayo mnatengeneza .. everyone huko tabata knows .. iv bin in tabata preny .. but with respect sijawahi ata onyesha anything … so this is more like drama za mahusiano and someone is truely hurt …

Sababu tu a woman make a decision to move on .. si sawa at all , everyone has a right to move on , and im sorry i hurt yo feelings but it is what it is … niliamua kuji distance kwa sababu zangu and take a break sababu zangu as well .. ndio maana huwa sifuti messages na evidence sababu ya vitu ka hizi .. by the way neither killy nor cheed is joining anywhere apo pia ntapaelezea ….by the way i end up kila kitu 16/2/2020 mwenyewe and i told Ali and i have evidence as well .. hakuna ugomvi or anything i end up everything peacefully,

Jus a woman ameamua to ku move on na maisha yake n fade up with on and off, so sielewi why natukanwa matusi kibao, i always love and respect him and his talent but have a life to live si kupost kila siku mambo or kuwa a puppet hell no i refuse … i want peace thats all and i have it all .. i just don’t like bully sababu no one knows anything zaid ya mimi na muhusika, so tuheshimiane … i respect him and wish him the best but nime move on na yeye pia na wengine naomba m move on .. vitu vinaisha maisha yanaendela no need ya drama or create vitu this is not healthy at all,

Everyone has a brand to protect, Sijalala, i did everything to protect him, nilisimama nae kwa everything nahisi yal need to put respect on my name ..hakuna mwanamke aliewahi simama nae vile , nimegombana na watu nimetukanwa or get all the bully for him, nahisi tema i deserve shukran sana maana mepambana kuliko mtu yoyote yule ..nimepitia mengi nyuma ya pazia but i was there for him, he was my ride or die ..but imetosha …naona sasa this is too much and sad part is … wanaofanya all this ni watu wanaojua a to z on what’s goin on .. si sawa!.
 
alikiba bana,nimecheki akihojiwa na soud akasema hataki stori zinazohusu maisha yake binafsi kwa sababu anapenda maisha yake yawe private,soudy alivomjinga akamuuliza “kwanini ?” 😂 yani kwa kifupi soudy ni mchokozi sana
 
alikiba bana,nimecheki akihojiwa na soud akasema hataki stori zinazohusu maisha yake binafsi kwa sababu anapenda maisha yake yawe private,soudy alivomjinga akamuuliza “kwanini ?” [emoji23] yani kwa kifupi soudy ni mchokozi sana
Soudy anajua kucheza na maneno na akili za watu taratibu hutaki kusema kitu chako ghafla unajikuta anakulainisha unasema vyote bila kutaka.
 
Watu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost baadhi ya screenshots zinazoonesha kuwa walikuwa ktk mahusiano na msanii huyo,baada ya kuvurugana majeshi yamehamia kwa kondeboy,post hizi hapaView attachment 1419768View attachment 1419770View attachment 1419771View attachment 1419772View attachment 1419773View attachment 1419774

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini asisaidiwe Alikiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom