Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Aliyeelewa anisimulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*****,kiba silent killerKama kweli Kiba alimtongoza Diva basi yule meneja wake wa sasa hivi sizani kama kamuacha manake ana zigo hilo la kuvunja chaga.
Kwani meneja wake mpya ni wa jinsia pinzani? Jamaa anapenda kusogeza mipira golini😂😂😂Kama kweli Kiba alimtongoza Diva basi yule meneja wake wa sasa hivi sizani kama kamuacha manake ana zigo hilo la kuvunja chaga.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sijauelewa huo mwandiko wake kama nilivyoshindwa kuielewa sura yake halisi. Yaani huyu dada kila picha ina sura yake ya kipekee, sijui ana sura ngapi..
Safi yake nyingine mzee wa kuloweka kavuMm niliwahi kusema kwa umalaya diamond atadubir Sana kwa kiba watu wakabisha sema Alikiba ni msir Sana alafu baadh ya waandish Wana muogopa Ila machafu ya kiba ni mengi Sana mpaka Basi kiba amesha kataa mimba nying Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi Sasa kiba kazaa na wanawake 6,m1 ndio alimuoaKama kweli Kiba alimtongoza Diva basi yule meneja wake wa sasa hivi sizani kama kamuacha manake ana zigo hilo la kuvunja chaga.
Hehehe!!
Waendelee kugombana watufaidishe na kutupunguzia stress za corona
Angalia kazi ya meneja manake huo mswabwanda Kiba sizani kama kamwacha.Yani hapo kazi hamna wakiwa na tour wanachukua room moja.Kwani meneja wake mpya ni wa jinsia pinzani? Jamaa anapenda kusogeza mipira golini😂😂😂
😂😂Mweee yote haya kayaleta mwenye gundu lake mujini. Poor kiba
Unamchango gani kwenye Hili la Kiba nataka kusikia mchango wakoMmmh wahurumie kwa jirani wanatamani kulia EP imedoda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]