Urafiki wa Joseph Mbilinyi (Sugu) na Rais Samia unampa shida Dkt. Tulia

Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
Yote 9 ila mie nimekuwa nakiuliza watu wanatumia vigezo gani kumchagua mbunge wao?
 
Tulia ilikuwa agombee kwenye Jimbo la Mwandosya ambaye ni ndugu yake, Jiwe kwa kutaka kumkomesha Sugu, akampeleka mbeya, nadhani Kuna Jimbo litakatwa ili kumpa space Tulia, bila shaka ni Jimbo la anakozaliwa
 
Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.

Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.

Hii inamuogopesha sana Dkt. Tulia lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho anaweza kufanya.

Tulia ni mtu ambaye amebebwa kuanzia wakati wa Magufuli na Mama anajua hilo na kibaya Mama hamuamini kabisa anajua anafanya kila kitu kisiasa.

Kuna mawili apendekeze jimbo waligawe mara mbili au wamuahidi viti maalumu lakini kihalali ukiangalia mikutano hatoweza kumshinda Sugu ambaye anazidi kuwa maarufu kila siku.

Kitu ambacho hajui Mama na Wazanzibari wanataka Katiba mpya wakati huu ambao mwenzao ni Rais hivyo hilo ni muhimu kuliko Dkt. Tulia kushinda kwa Rais.
Sasa wewe ndio Umeibua ukweli.

Kumbr shida ya Dr Tulia ilianzia hapa.

Kuna Dr Samia aliwahi kuhudhuria tamasha la miaka 30 ya Sugu. Kuanzia pale Dr Tulia akili haijakaa sawa
 
Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
Wanasiasa wa Tanzania ,wanaangalia sana ajira ili wanufaike na matumbo yao sio kuwasaidia wananchi.Ukiwauliza kuwa Sugu amefanya nn wakati wa miaka kumi hakuna.Watasema amejenga tu hotel yake Basi.Halafu Sugu anasema yeye ni rafiki wa Rais Samia.Huo ni ujinga mkubwa.Yaan unataka favour kutoka Rais wa CCM?Siasa za Tanzania ni unafiki mtupu.
 
Huwajui CCM wewe...
Tulia ataendelea tena kuwa spika 2025. Huyu amewekwa kwa maamuzi ya CC kwamba upinzani walikuwa na watu wanaoibana serikali kwenye kanuni na kutunga sheria so alihitajika mtu nguli kuwa angalau naibu ili awabane kina Lisu wanaodhani hakuna mtu anaejua sheria duniani kama yeye, na alifanikiwa. Tulia ni mzuri sana eneo hilo
 
Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.

Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.

Hii inamuogopesha sana Dkt. Tulia lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho anaweza kufanya.

Tulia ni mtu ambaye amebebwa kuanzia wakati wa Magufuli na Mama anajua hilo na kibaya Mama hamuamini kabisa anajua anafanya kila kitu kisiasa.

Kuna mawili apendekeze jimbo waligawe mara mbili au wamuahidi viti maalumu lakini kihalali ukiangalia mikutano hatoweza kumshinda Sugu ambaye anazidi kuwa maarufu kila siku.

Kitu ambacho hajui Mama na Wazanzibari wanataka Katiba mpya wakati huu ambao mwenzao ni Rais hivyo hilo ni muhimu kuliko Dkt. Tulia kushinda kwa Rais.
Sugu Hawezi Shinda James anajidanganya na wewe unamdanganya tu
 
Tulia ataendelea tena kuwa spika 2025. Huyu amewekwa kwa maamuzi ya CC kwamba upinzani walikuwa na watu wanaoibana serikali kwenye kanuni na kutunga sheria so alihitajika mtu nguli kuwa angalau naibu ili awabane kina Lisu wanaodhani hakuna mtu anaejua sheria duniani kama yeye, na alifanikiwa. Tulia ni mzuri sana eneo hilo
Alifanikiwa? Unachekesha
 
Ikulu wanajuta sana kumpeleka mama kwenye ile event ya Sugu naimani hawatorudia tena cause, Sugu anatumia uwepo wa mama kwenye ile event kama fimbo, Sugu ana exposure kinachomsumbua ni tabia ya kishamba ana ushamba
Hawawezi juta sababu hawakubahatisha, wameamua kugawana majimbo kama walivyofanya wakoloni.
 
Kwasababu alikuwa hamtaki kabisa yule aliyekuwepo. Huyu sio rafiki yake ni mtu tu anafanya naye kazi lakini hawezi kumsaidia kuiba kura tena kwa huyo anaye mwita “ Mwanangu sugu”
Duh wafuasi wa upinzani kweli zero brain ndio maana kina sugu wanawashikisha ukuta kila mara kisha wanaacha. Ulitaka samia amuonyeshe chuki? Kila mtu ana mbinu za kumpiga adui yake. Hadi hapo samia keshampiga huyo sugu ndio maana badala ya kutangaza sera anademka ngoma ya samia.

Tulia ni jeshi kubwa na we huwezi jua wanafanya vikao vingapi na huyo mama. Au ulitaka nae aseme samia huwa nampigia simu anapokea. .
 
Lissu naye anasema alimpigia simu Rais Samia alipo apishwa tu tena Samia anamwita Lissu mdogo wake kabisa.
 
Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.

Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.

Hii inamuogopesha sana Dkt. Tulia lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho anaweza kufanya.

Tulia ni mtu ambaye amebebwa kuanzia wakati wa Magufuli na Mama anajua hilo na kibaya Mama hamuamini kabisa anajua anafanya kila kitu kisiasa.

Kuna mawili apendekeze jimbo waligawe mara mbili au wamuahidi viti maalumu lakini kihalali ukiangalia mikutano hatoweza kumshinda Sugu ambaye anazidi kuwa maarufu kila siku.

Kitu ambacho hajui Mama na Wazanzibari wanataka Katiba mpya wakati huu ambao mwenzao ni Rais hivyo hilo ni muhimu kuliko Dkt. Tulia kushinda kwa Rais.
Lakini Tulia ana Cha kuonesha Kwa ubunge wake ila huyo Sugu wenu labda mashairi,amekaa Mbeya miaka 10 amefanya zero then Kuna mtu eti anataka kumchagua huyo tena?
 
Back
Top Bottom