Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeeddIkulu wanajuta sana kumpeleka mama kwenye ile event ya Sugu naimani hawatorudia tena cause, Sugu anatumia uwepo wa mama kwenye ile event kama fimbo, Sugu ana exposure kinachomsumbua ni tabia ya kishamba ana ushamba
Na samia ni rais leo kwa kura zipi?, una mavi kichwaniTulia ni zao la wizi, anakumbusha demokrasi, haki za watu na chaguzi za nchi zilipogeuzwa na kuwa takataka kabisa, akataliwe kwa nguvu ili liwe fundisho, kupata ubunge kwa wizi na uonezi halafu uwe spika haikubaliki
Kwahiyo hujui ni kwa namna gani Samia amekuwa rais wa nchi??Na samia ni rais leo kwa kura zipi?, una mavi kichwani
Hujui kitu[emoji27]Kwa tathmini ya haraka Dkt. Tulia atashinda Mbeya Mjini, licha ya kuwa ushindani utakuwa mkali wastani lakini Jimbo la Mbarali CCM wajipange sawasawa linaweza kwenda upinzani.
Muda utaongea mkuu,usiwe na shaka.Hujui kitu[emoji27]