Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Mkuu hii ni bendela Gani! Au ni majini hayaMbalali naona ni bendera za [emoji3577] tupu [emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ni bendela Gani! Au ni majini hayaMbalali naona ni bendera za [emoji3577] tupu [emoji849]
Tabia ni ushamba ambayo sugu anayoKale kausgamba ni kama kapo kwenye lile kabila, lkn nahusisha na kuchelewa kufika mjini!
Hawezi kupewa viti maalumu na awe spika...sijui nakosea?Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.
Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.
Hii inamuogopesha sana Dkt. Tulia lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho anaweza kufanya.
Tulia ni mtu ambaye amebebwa kuanzia wakati wa Magufuli na Mama anajua hilo na kibaya Mama hamuamini kabisa anajua anafanya kila kitu kisiasa.
Kuna mawili apendekeze jimbo waligawe mara mbili au wamuahidi viti maalumu lakini kihalali ukiangalia mikutano hatoweza kumshinda Sugu ambaye anazidi kuwa maarufu kila siku.
Kitu ambacho hajui Mama na Wazanzibari wanataka Katiba mpya wakati huu ambao mwenzao ni Rais hivyo hilo ni muhimu kuliko Dkt. Tulia kushinda kwa Rais.
Kwa nini hujiulizi kuhusu hiki chama kizee, miaka zaidi ya 60 kipo madarakani na pamoja na kushindwa kuboresha maisha ya watz bado kinalazimisha kutawala badala ya kuongoza.Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
😅😅Hawawezi juta sababu hawakubahatisha, wameamua kugawana majimbo kama walivyofanya wakoloni.
Eti bwanaKwa nini hujiulizi kuhusu hiki chama kizee, miaka zaidi ya 60 kipo madarakani na pamoja na kushindwa kuboresha maisha ya watz bado kinalazimisha kutawala badala ya kuongoza.
Tena?Serengeti boys 🏃🏃🏃🏃
Ana exposure halafu pia ana ushamba? Hujui maana ya exposure unajisemea semea tuIkulu wanajuta sana kumpeleka mama kwenye ile event ya Sugu naimani hawatorudia tena cause, Sugu anatumia uwepo wa mama kwenye ile event kama fimbo, Sugu ana exposure kinachomsumbua ni tabia ya kishamba ana ushamba
Rungwe mashariki.Hawezi kupewa viti maalumu na awe spika...sijui nakosea?
Lakini kuna uwezekano mkubwa akashauriwa akagombee kwao sijui wanapaitaje?
Nampa pole sana mumeo au mkeo maana uelewa wako upo kwenye madaftari tu,. Nenda Instagram kalike picture za mfalme zumaridiAna exposure halafu pia ana ushamba? Hujui maana ya exposure unajisemea semea tu
Dkt. Samia na Sugu hakuna urafiki wowote, Sugu katika maongezi yake anamuhusisha Rais wetu katika kuwa - brainwash Wanambeya, (kwamba hata Rais wenu yupo pamoja nami) that what he did, Rais akiwa pamoja na wewe na kama wewe ni mtendaji bora hukupa nafasi bila choyo, wana Mbeya lazima waelewe na wajinasue katika mtego huo fake!
ANGALIZO:
Wana Mbeya mlishakosea sana huko nyuma, pimeni, mjitafakari, msikosee tena, msitumiwe kama ngazi ya maendeleo ya mtu binafsi.
Mleta mada una akili ndogo sana lakini sijui kwanini hulitambui hilo.
Yaani kwakua Sugu na Rais ni marafiki kama unavyotaka kutuaminisha basi Rais atamzawadia Sugu jimbo la uchaguzi.
Kwahiyo unaona umeandika jambo la maana sana??
Picha za hao wawili tafadhali.Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.
Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.
Hii inamuogopesha sana Dkt. Tulia lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho anaweza kufanya.
Tulia ni mtu ambaye amebebwa kuanzia wakati wa Magufuli na Mama anajua hilo na kibaya Mama hamuamini kabisa anajua anafanya kila kitu kisiasa.
Kuna mawili apendekeze jimbo waligawe mara mbili au wamuahidi viti maalumu lakini kihalali ukiangalia mikutano hatoweza kumshinda Sugu ambaye anazidi kuwa maarufu kila siku.
Kitu ambacho hajui Mama na Wazanzibari wanataka Katiba mpya wakati huu ambao mwenzao ni Rais hivyo hilo ni muhimu kuliko Dkt. Tulia kushinda kwa Rais.
Tulia analijua hiloHatamzawadia lakini hata mchukulia ushindi halali. Dr Tulia hawezi kushinda kihalali
Ni udumavu wa hali ya juu Kuna Nini kipya ataleta au kufanya jibu ni hakuna watu wa mbeya bora watafute mtu mpya kabisa.Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
Umetumwa?Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.