Urafiki wa Joseph Mbilinyi (Sugu) na Rais Samia unampa shida Dkt. Tulia

Hawezi kupewa viti maalumu na awe spika...sijui nakosea?
Lakini kuna uwezekano mkubwa akashauriwa akagombee kwao sijui wanapaitaje?
 
Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
Kwa nini hujiulizi kuhusu hiki chama kizee, miaka zaidi ya 60 kipo madarakani na pamoja na kushindwa kuboresha maisha ya watz bado kinalazimisha kutawala badala ya kuongoza.
 
Kwa nini hujiulizi kuhusu hiki chama kizee, miaka zaidi ya 60 kipo madarakani na pamoja na kushindwa kuboresha maisha ya watz bado kinalazimisha kutawala badala ya kuongoza.
Eti bwana
 
Ikulu wanajuta sana kumpeleka mama kwenye ile event ya Sugu naimani hawatorudia tena cause, Sugu anatumia uwepo wa mama kwenye ile event kama fimbo, Sugu ana exposure kinachomsumbua ni tabia ya kishamba ana ushamba
Ana exposure halafu pia ana ushamba? Hujui maana ya exposure unajisemea semea tu
 
Hawezi kupewa viti maalumu na awe spika...sijui nakosea?
Lakini kuna uwezekano mkubwa akashauriwa akagombee kwao sijui wanapaitaje?
Rungwe mashariki.
 
Ana exposure halafu pia ana ushamba? Hujui maana ya exposure unajisemea semea tu
Nampa pole sana mumeo au mkeo maana uelewa wako upo kwenye madaftari tu,. Nenda Instagram kalike picture za mfalme zumaridi
 
Una ushahidi gani kwamba hana unafikiri? Raisi ajawahi kukataa, msdmaji wa Raisi ajawahi kukataa.
 
Mleta mada una akili ndogo sana lakini sijui kwanini hulitambui hilo.

Yaani kwakua Sugu na Rais ni marafiki kama unavyotaka kutuaminisha basi Rais atamzawadia Sugu jimbo la uchaguzi.

Kwahiyo unaona umeandika jambo la maana sana??

Hatamzawadia lakini hata mchukulia ushindi halali. Dr Tulia hawezi kushinda kihalali
 
Picha za hao wawili tafadhali.
 
Tanzania sijui tuna matatizo gani,mtu alikuwa mbuge 10 years lakini bado anapigana kwa kila namna arudi bungeni
Ni udumavu wa hali ya juu Kuna Nini kipya ataleta au kufanya jibu ni hakuna watu wa mbeya bora watafute mtu mpya kabisa.
 
Sugu kutoboa Mbeya Mjini ni ngumu mno watu walimchoka Sana 2025
 
Sugu anajipendekeza kwa samia....ila hawana urafiki wowote....
 
Umetumwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…