Ikulu wanajuta sana kumpeleka mama kwenye ile event ya Sugu naimani hawatorudia tena cause, Sugu anatumia uwepo wa mama kwenye ile event kama fimbo, Sugu ana exposure kinachomsumbua ni tabia ya kishamba ana ushamba
Tulia ni zao la wizi, anakumbusha demokrasi, haki za watu na chaguzi za nchi zilipogeuzwa na kuwa takataka kabisa, akataliwe kwa nguvu ili liwe fundisho, kupata ubunge kwa wizi na uonezi halafu uwe spika haikubaliki
Kwa tathmini ya haraka Dkt. Tulia atashinda Mbeya Mjini, licha ya kuwa ushindani utakuwa mkali wastani lakini Jimbo la Mbarali CCM wajipange sawasawa linaweza kwenda upinzani.