MBYZ
Mbona wengi mnaonekana hamtaki dual citizenship kwa chuki tu kwa watanzania wenzenu walio huko ngambo bila ya kua na sababu za msingi? toeni sababu ni vipi TZ itaathirika iwapo dual citizenship itakubaliwa
MKAMA
Acha kuchanganya mambo
Kwa nini uwe na DUAL CITIZENSHIP....?
Whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
Ni Usaliti Kwa maoni yangu...it doesn't make sense
Msaliti ni nani kati ya yule aliye na uraia mmoja anakuuza wewe na unalilia njaa, analeta mijamaa inachimba madini na kumwaga sumu ndani ya maji mito ili wafe kwa wingi wanaozunguka maeneo hayo msije mkampigia kelele. Huyu huyu mwenye raia moja anachagua jamaa mwingine mwenye raia moja linaiba fwedha na kuzipeleka kuziweka u uswizi.
Mwenye raia mbili anapigana kiume pale uswiz ana grab indirectly zile fwedha zilizoletwa uswizi na fisadi lenye raia moja lilopewa dhamana na mwenye raia moja, kiasi fulani anazirudisha kwa kuzituma kwa western union kumsaidia yule aliyemwagiwa sumu kwenye mto aghalabu anunue maji ya kiloba.
Hivi ni nani msaliti kati ya hawa watatu?
Kwa hiyo ufumbuzi wa matatizo uliyoyaelezea Hapo juu ni KUA NA DUAL CITIZENSHIP ?
Nakubaliana na wewe ... as long wewe ni Mtanzania ,Hata uchukuwe Uraia wa nchi GANI..utaendelea kuwa na utaifa wa Tanzania....Ndiyo, on one hand, ya kwamba, sina shaka unafahamu msemo wa darasa la tano ya kwamba chembe na chembe mkate hua.
On the other hand, mapingamizi yenu yote ni baseless maana wanao root hiyo nchi ni watu wa raia moja, hawa, ruthless people are constantly sending their own people to hell.
Wanachokipigania hawa watu ni kurudisha utaifa wao, maana hawa watu wamenyanganywa haki yao ya msingi, yani nationality yao na sio citizenship, lakini ujue pia unapompa mtu citizenship yake na akawa amezaliwa hapo by default anapata nationality yake. Ila ambaye hakuzaliwa hapo atakuwa na citizenship na sio nationality.
Umenipata kiongozi?
Nakubaliana na wewe ... as long wewe ni Mtanzania ,Hata uchukuwe Uraia wa nchi GANI..utaendelea kuwa na utaifa wa Tanzania....
Nnachokataa Mtu kuwa Na DUAL CITIZENSHIP...Kwa nini ufanye hivyo ?
Hakuna mtu atakayeweza kukunyang'anya UTAIFA Wako..ndio maana tunasikia mtu anakuwa Addressed as AMERICAN OF INDIAN ORIGIN,TANZANIAN OF CHINEES ORIGIN au AMERICAN OF TANZANIAN ORIGIN.
Kwa hiyo utaifa wako Huwezi kunyang'nywa na Mtuu
The poor mind sets, always ready to embrace the negatives...
The poor mind sets, always ready to embrace the negatives...
When it comes down to "allegiance", to whom will the person with multiple uraia be pledged? Dual citizenship will confer facilities and privileges without obligations. Apart from marginal economic and social benefits, it can create ambiguous loyalties among people holding it.
What status will you confer to aid donors that give a lot of handouts to our government if you view the magnitude of aid they give?
How could someone be a citizen of two countries at the same time? I bet it could be undermining the notion of nationhood especially to a nascent country like TZ.
Assume the US is engaging into war with your second country(probably your mother country) and you are living in the US, what will you do in this situation or you will make it the Arab style, suicide bomber, which in turn will result to negative repercussions with your community living the US.
Giving reasons of remittances back home as justification to conferring dual citizenship is too vague a definition of granting the status to make any credible conclusion about its establishment.
If allowed, the decision will be based on narrow short term motivations and should be opposed.
Kwahiyo dual citizenship isikubaliwe, mkuu?
Kwangu mimi dual citizenship ni usaliti. Call a spade a spade. Kweli Tanzania tuna matatizo mengi, lakini mpaka mtu unaacha jamii yako na kwenda ku-contribute kwenye maendeleo ya jamii nyingine, inaonyesha kiasi gani usivyojali jamii yako and infact self centred. Furthermore mtu wa namna hii hana real commitment kwa nchi yake.
Anataka huku kukiwa kubaya aweze kukimbilia kule kuzuri.No we can't leave with opportunists, kama unaona huwezi kuwa raia mwaminifu wa Tanzania, please quit.Hakuna anayeweza kutumikia mabwana wawili,kwa kuwa atamwacha huyu na kuandamana na huyu.
Do you think dual citizenship can create dual loyalties?
Siungi mkono hili jambo.
Kwahiyo kwa mawazo yako ni kuwa watanzania wote warudi waishi tanzania na wote wajifunike shuka moja, na pia unasema watanzania si ruhusa kuoa/kuolewa na watu za nchi zingine?
SIUNGI MKONO NARUDIA TENA,
Labda labda tuige INDIA.
India will not give its citizens dual citizenship
There were strong rumours that the Indian government was going to allow its citizens to be the citizens of two countries but now it is extremely unlikely this will happen. There are too many security concerns. In fact its not just Pakistan or China that India is wary of, there are groups in India (communist and to some extent the BJP) who do not trust the United States and they will never agree to this.
Overseas Citizenship (OCI)
To assuage its citizens abroad India has come out with the Overseas Citizenship (OCI) scheme. It gives the holder financial benefits and ease of travel but its important to remember that the OCI does not entitle one to an Indian passport. Some might call the OCI Indian citizenship but no way does it mean Indian nationality or real Indian citizenship. The OCI is simply a stamp on the existing foreign passport in other words something akin to a life-long visa. Those eligible are Indian migrants from Independent India (and their children and grandchildren) who have acquired foreign citizenship but not those who have acquired citizenship of Pakistan or Bangladesh or ever were the citizens of these countries. The OCI gives the following benefits:
But what it does not give is:
- right to indefinitely visit, study or work in India
- right to own most types of property in India (excluding agricultural properties)
- Dispenses with the need to register with local police/immigration authorities
(For more details on the OCI, please visit the links above and make inquiries with the Indian embassy as these are just brief details)
- Right to vote
- Eligibility for government employment
- Unrestricted access to restricted/protected areas
The Person of Indian Origin (PIO) Card
This is very similar to the OCI, and so are the eligibility criteria .if there is a difference in the eligibility criteria, I was not able to access this information. The main difference between the OCI and the PIO is that the PIO is temporary and lasts for 15 years from the date of issue. Also, PIO Card holders are usually required to register with police/immigration authorities if they stay more than 180 days.
The other benefits are similar and as in the case of the OCI, holders of the POI have no political rights and cannot hold jobs in the government.
(For more details on the PIO, please visit the links above and make inquiries with the Indian embassy as these are just brief details)
Good or bad, no chance of dual citizenship for Indians
As of now Indians will have to be satisfied with the OCI or the PIO. It is bound to hurt those who desperately want to maintain a link with India by keeping their Indian nationality but at the same time do not want to forgo the benefits that their host country will offer if they become its citizens. And why should they? After all, they give their sweat and blood to that foreign country and should expect something in return but well, for that they need to become citizens. And if they do that, they have to perforce sever their relationship with India officially I mean.