Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hamna hoja zaidi ya kutetea maslahi binafsi. Kama umeamua kuukana utanzania, endelea hivyo hivyo na si kulilia vyote. Kumbuka, mshika mbili moja umponyoka.
Mwisho wa siku utakuja kuwafukuza mpaka wanakijiji wenzako waliohamia mijini kwa madai ya kuwa ni waoga na wakimbia matatizo wakubwa.
Siku hizi watu hawana haja ya kuukana Utanzania, mtu anauchukua Uraia wake wa kwenye maboksi (kwenye maboksi wanakubali dual citizenship) na uraia wake wa Kitanzania anabaki nao vilevile!...hii inazidi kuweka presha kwenye upande wenu kuwa inabidi mkubali tu dual citizenship.
Kwa sababu sioni faida zake kwa taifa zaidi ya faida kwa mtu mmoja mmoja.
Pia faida zinazosemwa zinaweza patikana bila uwepo wa dual citizenship.
Ngoja nisome vizuri jibu la Kiranga.
Duh!
Kwa hiyo siku hizi kuja mijini kuna hitaji kukana 'uraia' wa kijijini?
Ooppss! Hivi kumbe kuna uraia wa mijini na vijijini?!?
Kama mtu mwenyewe fikra zako ndizo hizo za kufananisha uhusiano kati vijijini-mijini na kati ya Tanzania-Marekani kwa suala la uraia wa nchi mbili, kwa heri.
Ila nieleze kama hao mnaokimbilia kwao nao wangekimbia matatizo ya kwao, mngepakimbilia na kudendea uraia?!?
Okey dokey!
Kwa nini mnalilia uraia wa nchi mbili, kama hata kama ukichukua uraia wa boksi, uraia wa kitanzania unabaki nao?!? What is the fuss about?
Dual citizenship ikubalike vipi tena wakati hakuna haja ya kuwepo kama tayari 'unabaki na utanzania' hata ukiwa na uraia wa boksi?!?
Sasa ubaya wa faida kwa mtu mmoja mmoja ni nini?
Nchi ni watu, na kama unakataa kitu kitakachomsaidia Mtanzania mmoja mmoja usifikiri kwamba utaweza kukubali kitu kitakachosaidia nchi nzima.
Watu wanafanya hivyo illegally. Ukichukua uraia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia wa Tanzania. Soma sheria ya uraia ya 1995 kabla ya ku expose ignorance yako.
Regardless what, either dual ina faida ama haina.
Read between the lines chifu kwenye hiyo post niliyomjibu Sideeq.
Sasa kama mtu hajui kuandika alphabet utategemeaje aandike thesis ya Ph.D?
Nzi keshakubali kuwa ina faida albeit kwa mtu mmoja mmoja. Na watu wamoja wamoja hao hao ndiyo wanaunda taifa. Sasa kama ina faida kwa mtu mmoja mmoja ubaya uko wapi? Ina maana hataki watu wamoja wamoja wafaidike? Kama ni hivyo, kwa nini hataki wafaidike?
Ngoja niseme juu ya hilo, mengine yanakuja.
Sasa kiongozi, unafikiri kila mtu anataka kusoma hayo ma Ph.D.??
Wengine ni wakulima tu; malengo yetu ni kuuza kahawa yetu kwa Starbucks. Ph.D. bakini nazo nyie wabeba boksi.
You can't tell a simile or a metaphor either.
Kama hutaki kusoma nenda kaimbe - or better yet kacheze makida, maana hata kuimba kunahitaji kusoma siku hizi-, usijitie ujuaji wa ku discuss dual citizenship wakati huja master the basics of "Individualism vs Collectivism"
Bejeeez!
Hold on Please. sio mda mrefu uliopita kulikuwa kuna lebel kwamba disapora wa kitanzania, hawana elimu. Wow! what a U turn.
Hold on Please. sio mda mrefu uliopita kulikuwa kuna lebel kwamba disapora wa kitanzania, hawana elimu. Wow! what a U turn.
Wanaodhani hivyo wao ndiyo hawana elimu!
Wanaodhani hivyo wao ndiyo hawana elimu!
Bukwimba umetoka lini lakini pale karibu na nyambiti kwenye shule ya taro pembeni kuna kijiji cha mwamanjira? he he he just kidding.