Duh!
Kwa hiyo siku hizi kuja mijini kuna hitaji kukana 'uraia' wa kijijini?
Ooppss! Hivi kumbe kuna uraia wa mijini na vijijini?!?
Kama mtu mwenyewe fikra zako ndizo hizo za kufananisha uhusiano kati vijijini-mijini na kati ya Tanzania-Marekani kwa suala la uraia wa nchi mbili, kwa heri.
Ila nieleze kama hao mnaokimbilia kwao nao wangekimbia matatizo ya kwao, mngepakimbilia na kudendea uraia?!?
Okey dokey!
Kwa nini mnalilia uraia wa nchi mbili, kama hata kama ukichukua uraia wa boksi, uraia wa kitanzania unabaki nao?!? What is the fuss about?
Dual citizenship ikubalike vipi tena wakati hakuna haja ya kuwepo kama tayari 'unabaki na utanzania' hata ukiwa na uraia wa boksi?!?