Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Hamna hoja zaidi ya kutetea maslahi binafsi. Kama umeamua kuukana utanzania, endelea hivyo hivyo na si kulilia vyote. Kumbuka, mshika mbili moja umponyoka.

Kwa nini unapinga sana dual citizenship?
 
Mwisho wa siku utakuja kuwafukuza mpaka wanakijiji wenzako waliohamia mijini kwa madai ya kuwa ni waoga na wakimbia matatizo wakubwa.

Duh!
Kwa hiyo siku hizi kuja mijini kuna hitaji kukana 'uraia' wa kijijini?
Ooppss! Hivi kumbe kuna uraia wa mijini na vijijini?!?
Kama mtu mwenyewe fikra zako ndizo hizo za kufananisha uhusiano kati vijijini-mijini na kati ya Tanzania-Marekani kwa suala la uraia wa nchi mbili, kwa heri.

Ila nieleze kama hao mnaokimbilia kwao nao wangekimbia matatizo ya kwao, mngepakimbilia na kudendea uraia?!?

Siku hizi watu hawana haja ya kuukana Utanzania, mtu anauchukua Uraia wake wa kwenye maboksi (kwenye maboksi wanakubali dual citizenship) na uraia wake wa Kitanzania anabaki nao vilevile!...hii inazidi kuweka presha kwenye upande wenu kuwa inabidi mkubali tu dual citizenship.

Okey dokey!

Kwa nini mnalilia uraia wa nchi mbili, kama hata kama ukichukua uraia wa boksi, uraia wa kitanzania unabaki nao?!? What is the fuss about?

Dual citizenship ikubalike vipi tena wakati hakuna haja ya kuwepo kama tayari 'unabaki na utanzania' hata ukiwa na uraia wa boksi?!?
 
Kwa nini unapinga sana dual citizenship?

Kwa sababu sioni faida zake kwa taifa zaidi ya faida kwa mtu mmoja mmoja.
Pia faida zinazosemwa zinaweza patikana bila uwepo wa dual citizenship.

Ngoja nisome vizuri jibu la Kiranga.
 
Kwa sababu sioni faida zake kwa taifa zaidi ya faida kwa mtu mmoja mmoja.
Pia faida zinazosemwa zinaweza patikana bila uwepo wa dual citizenship.

Ngoja nisome vizuri jibu la Kiranga.

Sasa ubaya wa faida kwa mtu mmoja mmoja ni nini?
 
Duh!
Kwa hiyo siku hizi kuja mijini kuna hitaji kukana 'uraia' wa kijijini?
Ooppss! Hivi kumbe kuna uraia wa mijini na vijijini?!?
Kama mtu mwenyewe fikra zako ndizo hizo za kufananisha uhusiano kati vijijini-mijini na kati ya Tanzania-Marekani kwa suala la uraia wa nchi mbili, kwa heri.

Ila nieleze kama hao mnaokimbilia kwao nao wangekimbia matatizo ya kwao, mngepakimbilia na kudendea uraia?!?

Okey dokey!

Kwa nini mnalilia uraia wa nchi mbili, kama hata kama ukichukua uraia wa boksi, uraia wa kitanzania unabaki nao?!? What is the fuss about?

Dual citizenship ikubalike vipi tena wakati hakuna haja ya kuwepo kama tayari 'unabaki na utanzania' hata ukiwa na uraia wa boksi?!?

Watu wanafanya hivyo illegally. Ukichukua uraia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia wa Tanzania. Soma sheria ya uraia ya 1995 kabla ya ku expose ignorance yako.
 
Sasa ubaya wa faida kwa mtu mmoja mmoja ni nini?

This Nzi fellow would have been funny had this been not so serious.

It is the ultimate habit of a collectivist to think in collectivism terms, that there is such a tangible entity as "The nation".

Nchi ni watu, na kama anakataa kitu kitakachomsaidia Mtanzania mmoja mmoja asifikiri kwamba ataweza kukubali kitu kitakachosaidia nchi nzima.

Ni kama vile ule mfano wa "huwezi kumpenda mungu ambaye humuoni kama humpendi jirani yako unayemuona". Huwezi kutaka maendeleo ya taifa ambalo ni an abstract concept kama hutaki maendeleo ya Nyani Ngabu Mtanzania mmoja unayemuona.

Yaani ukiangalia arguments unaona kabisa kabla ya kujitutumua kuanza kubishana kuhusu dual citizenship, mtu anahitaji kumsoma Ludwig Von Mises on individualism vs collectivism.

Sasa kama mtu hajui kuandika alphabet utategemeaje aandike thesis ya Ph.D?
 
Nchi ni watu, na kama unakataa kitu kitakachomsaidia Mtanzania mmoja mmoja usifikiri kwamba utaweza kukubali kitu kitakachosaidia nchi nzima.

You just beat me to the punch! That's exactly where I was going with it.
 
Watu wanafanya hivyo illegally. Ukichukua uraia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia wa Tanzania. Soma sheria ya uraia ya 1995 kabla ya ku expose ignorance yako.

Read between the lines chifu kwenye hiyo post niliyomjibu Sideeq.
 
Tatizo la kunyima wananchi haki kikundi kidogo kilicho na potentials ni hatari sana hata kwa usalama wa taifa wenyewe. Watu wanaokandamizwa wanapochoka huamua kufanya mambo mengine yasiyouzuirika.

Mfano, Libya ni wachache walionyimwa haki zao na waliokuwa gainst na gadafi, wakaamua kuungana na mataifa yenye nguvu for any cost kumdhibiti gadafi, the same is ON kwa Syria.
Regardless what, either dual ina faida ama haina. Bali hii ni haki ya msingi ya kila mtanzania na ni haki ya msingi. Unyanyembe wa aina hii na unaofanana kivile utatokomezwa ama kujitokemeza wenyewe. count down.
 
Regardless what, either dual ina faida ama haina.

Nzi keshakubali kuwa ina faida albeit kwa mtu mmoja mmoja. Na watu wamoja wamoja hao hao ndiyo wanaunda taifa. Sasa kama ina faida kwa mtu mmoja mmoja ubaya uko wapi? Ina maana hataki watu wamoja wamoja wafaidike? Kama ni hivyo, kwa nini hataki wafaidike?
 
Read between the lines chifu kwenye hiyo post niliyomjibu Sideeq.

You my friend are all over the place, do not flatter yourself that you follow lines.

This post, and the notion that you have lines for people to read between them, is the height of self adulation.

Why? You haven't mastered penciling ABCs and you are already telling people to read between the lines.

Get a job, holler at Perdue.
 
Sasa kama mtu hajui kuandika alphabet utategemeaje aandike thesis ya Ph.D?

Ngoja niseme juu ya hilo, mengine yanakuja.
Sasa kiongozi, unafikiri kila mtu anataka kusoma hayo ma Ph.D.??

Wengine ni wakulima tu; malengo yetu ni kuuza kahawa yetu kwa Starbucks. Ph.D. bakini nazo nyie wabeba boksi.
 
Nzi keshakubali kuwa ina faida albeit kwa mtu mmoja mmoja. Na watu wamoja wamoja hao hao ndiyo wanaunda taifa. Sasa kama ina faida kwa mtu mmoja mmoja ubaya uko wapi? Ina maana hataki watu wamoja wamoja wafaidike? Kama ni hivyo, kwa nini hataki wafaidike?

Incoherent ignoramuses insincerely inhibiting internationalization.
 
Ngoja niseme juu ya hilo, mengine yanakuja.
Sasa kiongozi, unafikiri kila mtu anataka kusoma hayo ma Ph.D.??

Wengine ni wakulima tu; malengo yetu ni kuuza kahawa yetu kwa Starbucks. Ph.D. bakini nazo nyie wabeba boksi.

You can't tell a simile or a metaphor either.

Kama hutaki kusoma nenda kaimbe - or better yet kacheze makida, maana hata kuimba kunahitaji kusoma siku hizi-, usijitie ujuaji wa ku discuss dual citizenship wakati huja master the basics of "Individualism vs Collectivism"

Bejeeez!
 
Hold on Please. sio mda mrefu uliopita kulikuwa kuna lebel kwamba disapora wa kitanzania, hawana elimu. Wow! what a U turn.
 
Hold on Please. sio mda mrefu uliopita kulikuwa kuna lebel kwamba disapora wa kitanzania, hawana elimu. Wow! what a U turn.

That was before Pope Kiranga The Magnificent entered this thread.
 
Wanaodhani hivyo wao ndiyo hawana elimu!

Most of these two bit commentators haven't even read the 95 Act to comment profusely on the details.

Or even heard of Ludwig von Mises, let alone read "Human Action" to know you cannot have a nation without individuals, and what affects the individual affects the nation.

The proliferation of pretentious puppet potentates peeves the Pope. A purge is pertinent.
 
Bukwimba umetoka lini lakini pale karibu na nyambiti kwenye shule ya taro pembeni kuna kijiji cha mwamanjira? he he he just kidding.

Majuzi tu nilikuwa Lamadi, Nyakabindi, Dutwa, na Isanzu! Najiandaa na 2015 kwenda kumng'oa Chenge.
 
Back
Top Bottom