Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

One time, some years ago nilikuwa nafanya some non-financial projects na some financial planners.

Sasa during the odd downtime, nikapata opportunity kuongea, chit-chat. Napenda ku engage watu kuhusu kazi zao and all, out of courtesy and genuine curiosity.

Sasa nikamuuliza financial planner mmoja, kama mie nina mshiko wangu wa nguvu nataka kuuzungusha ma offshore huko katika ma investment na Mitt Romney type of banking, barely legal obfuscation for tax purposes and all, kama anaweza kufanya. Akasema anaweza kufanya.

Akaniuliza "Are you a citizen?" Nikamwambia si citizen lakini niko legal nina papers kamili gado.

Akaniambia ngoma hiyo itakuwa nguuumu saana tu. Ukiwa citizen mchezo rahisi sana na unaweza kukuokolea mamilioni ya dola kwa mwaka (the whole convo was rather hypothetical).

Sasa some Tanzanians could easily be in a similar position. There are countless anecdotes like that.

And some people wonder out loud about the benefits of dual citizenship!

We are not in an agrarian economy anymore. And the world is interconnected in more tangible ways than just the internet.
 
Resisting dual citizenship is as futile as resisting the flow of time.

It is tantamount to resisting an inevitable competitive advantage. You will give in anyway, because this is the direction of the entire world. So the question really becomes, do you want to embrace this change early and gain the competitive advantage early or late and not benefit from it at all.

Years later, we will look back at this debate the same way we are now looking at the tribal chiefs who denied their children the then offered privilege to go to school.
 
Akaniuliza "Are you a citizen?" Nikamwambia si citizen lakini niko legal nina papers kamili gado.
Akaniambia ngoma hiyo itakuwa nguuumu saana tu. Ukiwa citizen mchezo rahisi sana na unaweza kukuokolea mamilioni ya dola kwa mwaka (the whole convo was rather hypothetical).

Sasa some Tanzanians could easily be in a similar position. There are countless anecdotes like that.

Kwani huwezi kuleta hayo mapesa kama mwekezaji? Mbona akina 'Romney' kibao wanakuja Tanzania kwa njia ya uwekezaji?

Chukua uraia wa hizo nchi, kisha leta madolari hayo hapa Tanzania. Tena utakuwa na 'added advantage' ya kutambua vyema 'uwanja wa nyumbani'.

Sijaona bado haja ya uraia wa nchi mbili. Pheeeew!

We are not in an agrarian economy anymore. And the world is interconnected in more tangible ways than just the internet.

Oh! Really!!??
I can't believe the Kiranga is in with a mush talk.

So what if the world is interconnected?!!? Does it call for acceptance of dual citizenship?!?

Yes. We are not in agrarian economy. Do you mean all nations with no dual citizenships are practising agrarian economy?
If no, why is it not all nations in the world have accepted dual citizenship?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha, aha huna account ya hiyo kitu okay, lakini uki create utapata hata wasaa wa kupata matangazo ya kazi mbali mbali ya kazi, na kukutana na wataalamu mbali mbali

fungua linkedin na u search kwa data hizi
http://www.linkedin.com/profile/edit?trk=tab_pro

Cheki sasa akili za wabeba box.
Link kushindwa kufunguka ndiyo kigezo cha mimi kukosa akaunti ya LinkedIn?!?

Hujafikiria shida ya mtandao? Na technological setbacks zingine?

Ndiyo maana unashindwa kutetea hoja ya uraia wa nchi mbili!!
 
Kwanza kabisa kuna tofauti kati ya Uzawa,/Utaifa, Uraia, na ukaazi. Kwenye hili, Watanzania wazawa wanataka kuwa na haki ya kuwa raia wa nchi nyingine bila kupoteza uzawa/utaifa na uraia wao wa Tanzania.

Si kwamba Wamarekani au Waingereza au Wakenya wanataka Tanzania turuhusu uraia wa nchi mbili hapana haki hiyo tayari tumewapa suala ni kwamba Watannzania wanataka kuwa na haki hiyo pia lakini bila kupoteza utaifa au uraia wao wa Tanzania.

Suluhisho:
Ni kiasi cha kujiwekea sheria tu ambazo zitalinda maslahi yetu. Ikumbukwe pia, hatujalazimishwa kufungua milango kwa kila mtu. Michango mingi imetolewa hapo ukiwemo suluhisho la India. Binafsi ningependekeza Sheria iwe na vipengele viwili hivi hapa chini.

1. Mtanzania yoyote (Mzawa wa Tanzania au mmoja wa wazazi wake ni Mzawa wa Tanzania) hawezi kupoteza utanzania wake kwa sababu yoyote ile. Ana haki zote kama Mtanzania zikiwemo za kupiga kura, kufanya kazi serikalini na kumiliki ardhi au biashara ndani na nje ya Tanzania.

2.Raia wa Tanzania yoyote yule (Si mzawa si mtaifa) ambaye pia ana uraia wa nchi nyingine (Dual citizenship) hawezi kumiliki ardhi, kushika nafasi za juu za uongozi au kuwa mwanajeshi. Na tunaweza kuongeza mengine ambayo tunataka wasiwe na haki nayo.
 
Cheki sasa akili za wabeba box.
Link kushindwa kufunguka ndiyo kigezo cha mimi kukosa akaunti ya LinkedIn?!?

Hujafikiria shida ya mtandao? Na technological setbacks zingine?

Ndiyo maana unashindwa kutetea hoja ya uraia wa nchi mbili!!

Okay, mkuu umesikika,

Kwanza kabisa kuna tofauti kati ya Uzawa,/Utaifa, Uraia, na ukaazi. Kwenye hili, Watanzania wazawa wanataka kuwa na haki ya kuwa raia wa nchi nyingine bila kupoteza uzawa/utaifa na uraia wao wa Tanzania.

Ni zipi faida za hao watu kubakiziwa uzawa/utaifa wao?

Si kwamba Wamarekani au Waingereza au Wakenya wanataka Tanzania turuhusu uraia wa nchi mbili hapana haki hiyo tayari tumewapa suala ni kwamba Watanzania wanataka kuwa na haki hiyo pia lakini bila kupoteza utaifa au uraia wao wa Tanzania.

Ili iweje? Kwa faida zipi?

1. Mtanzania yoyote (Mzawa wa Tanzania au mmoja wa wazazi wake ni Mzawa wa Tanzania) hawezi kupoteza utanzania wake kwa sababu yoyote ile. Ana haki zote kama Mtanzania zikiwemo za kupiga kura, kufanya kazi serikalini na kumiliki ardhi au biashara ndani na nje ya Tanzania.

Kwa katiba na sheria zetu, hilo haliwezekani. Ukishamiliki pasipoti ya taifa jingine unakuwa umepoteza utanzania wako.

Na mpaka sasa sijaona ni kwanini hilo suala libadilike.

2.Raia wa Tanzania yoyote yule (Si mzawa si mtaifa) ambaye pia ana uraia wa nchi nyingine (Dual citizenship) hawezi kumiliki ardhi, kushika nafasi za juu za uongozi au kuwa mwanajeshi. Na tunaweza kuongeza mengine ambayo tunataka wasiwe na haki nayo.

Sasa, shida zote za nini. Mtu kama huyu atakuwa ana faida gani kwa Tanzania? Kwa nini hasije kama mwekezaji tu?
 
Kwani huwezi kuleta hayo mapesa kama mwekezaji? Mbona akina 'Romney' kibao wanakuja Tanzania kwa njia ya uwekezaji?

Apparently you did not grasp the dimensionality of my post. I was not talking about Tanzanians investing in Tanzania at all, you hardly need dual citizenship if the scope is Tanzania. If you go back and read carefully you will see this was about Tanzanians investing outside of Tanzania.

Your lack of attention to detail calls to question the veracity of the rest of your premises.

Chukua uraia wa hizo nchi, kisha leta madolari hayo hapa Tanzania. Tena utakuwa na 'added advantage' ya kutambua vyema 'uwanja wa nyumbani'.

Bila dual citizenship, nikichukua uraia wa nchi hizo na forego uraia wangu wa Tanzania. Na nikija Tanzania napata barriers kama foreigner. The whole point for dual citizenship. You seem to not appreciate this matrix.

Sijaona bado haja ya uraia wa nchi mbili. Pheeeew!

I doubt unaona at all, let alone uraia wa nchi mbili.

Oh! Really!!??
I can't believe the Kiranga is in with a mush talk.

Really, you do not seem to appreciate that dual citizenship is a ticket to an easier path to international trade.

So what if the world is interconnected?!!? Does it call for acceptance of dual citizenship?!?

Yes. Because if you do not embrace dual citizenship today, tomorrow dual citizenship is going to be inevitable and you will have forfeited the opportunity of being an early adopter.

The interconnectivity of the world calls for an interconnectivity of citizenship. Why are you against dual citizenship?

Yes. We are not in agrarian economy. Do you mean all nations with no dual citizenships are practising agrarian economy?
If no, why is it not all nations in the world have accepted dual citizenship?

This dilapidated type of non-reasoning is probably why you have all the issues convoluted.

I don't man that all nations with no dual citizenship are practising agrarian economies, and neither did I say that. I wonder where do you infer that from.

If I say we are not in an agrarian society anymore and should embrace dual citizenship because it is good for trade, that does not mean that there are no quasi-dictatorships around the world bent on an unhealthy dose of patriotism and deluded level of fencing in.

Are you going to embrace an idea based on what makes sense to you or what is the commonly accepted tradition that is not good for your economic interest?
 
When you think hard about this, and look at the blue books to connect the dots and draw patterns, the dual citizenship debate is really a continuation of the multipartysm debate of the 1980s and early 90s.

The central meme is plurality and multiculturalism increase with time, and we have reached a juncture where we will shortly see the countries shunning dual citizenship as isolated and in the pariah backwaters just as the countries shunning multipartyism are today.

When this happens, you can thank me for warning everyone about this.
 
Apparently you did not grasp the dimensionality of my post. I was not talking about Tanzanians investing in Tanzania at all, you hardly need dual citizenship if the scope is Tanzania. If you go back and read carefully you will see this was about Tanzanians investing outside Tanzania

For whose benefits? I see no benefits to the nation out of offshore investments.
In those nations, it is quite different from how offshore investments in Tanzania operate and benefit the mother country. Investing in those nations as a Tanzanian will benefit more the nations than the home country. Their rules are much stricter than it is in Tanzania; whereby offshore investments have more outflows than inflows.

Bila dual citizenship, nikichukua uraia wa nchi hizo na forego uraia wangu wa Tanzania. Na nikija Tanzania napata barriers kama foreigner. The whole point for dual citizenship. You seem to not appreciate this matrix.

Kweli? Mara ya mwisho kuja Tanzania ni lini? Naona umeshasahau mazingira ya 'nyumbani kwenu'!!
Ila ni hivi, kwa sasa ukija kama foreign invester or whoever, utapokelewa vizuri kuliko ukija kama mtanzania mwenye senti zako.
Kwa hiyo chukua tu uraia wa nchi hizo, kisha kuja kama raia wa kigeni mwenye nia ya kuwekeza ama vyovyote. Utapokelewa kwa mikono miwili.
Kuna maeneo mengi tu unaweza pokelewa zaidi ya uwekezaji, kwa mfano Chuo Kikuu cha Dodoma kinahitaji sana expatriates na kinawapokea kwa mikono miwili, njooni na mtalipwa mapesa mengi sana.

Really, you do not seem to appreciate that dual citizenship is a ticket to an easier path to international trade.

Really?
Tanzania is doing much better in international trade. The FDI are increasingly booming.
I don't see the offshore investments that you are preaching as good economic ventures to the nation's economy.

Yes. Because if you do not embrace dual citizenship today, tomorrow dual citizenship is going to be inevitable and you will have forfeited the opportunity of being an early adopter.

What opportunity would it bring to the nation? I don't mind even if the nation becomes a laggard in this issue, until it is clearer about the opportunities to be brought by it.

The interconnectivity of the world calls for an interconnectivity of citizenship. Why are you against dual citizenship??

Why should I be for it? What benefits will the nation get out of it? All those that you are raising can still be done without dual citizenship.

Are you going to embrace an idea based on what makes sense to you or what is the commonly accepted tradition that is not good for your economic interest?

Based on what makes sense for the nation's interests.
What is this so called called 'commonly accepted tradition?' Is this coming from Kiranga mouth or mind?!?
 
Last edited by a moderator:
Ni zipi faida za hao watu kubakiziwa uzawa/utaifa wao?

Faida ni kama tunazozipata kutoka kwa Kikwete, Lowasa, Membe, The Comedy, Nzi, ETM, Mwanakiji na wengine wanaotuletea faida kama watanzania. Na ndio hizo faida wanaweza kuzileta hata sasa. Lakini kwa sheria zilizopo mara tu watakapokuwa na uraia wa nchi nyigine hawataweza tena kuwa Raisi au waziri wa ndani ya Tanzania.

Ili iweje? Kwa faida zipi?
Faida ni zile zile hoja yangu haipo kwenye faida na hasara hoja yangu ipo kwenye haki ya msingi

Kwa katiba na sheria zetu, hilo haliwezekani. Ukishamiliki pasipoti ya taifa jingine unakuwa umepoteza utanzania wako.

Na mpaka sasa sijaona ni kwanini hilo suala libadilike.

Ndio maana binafsi napendekeza sheria ibadilishwe na kama inawezekana iwekwe kwenye katiba kabisa hasa hicho kipengele cha kwanza nilichopendekeza.

Sasa, shida zote za nini. Mtu kama huyu atakuwa ana faida gani kwa Tanzania? Kwa nini hasije kama mwekezaji tu?
Kuna wengine ni wahanga wa vita kutoka Somalia, Rwanda wanahitaji kupata uraia wa Tanzania sio lazima wawe wakezaji. Kuna wengine ni wakimbizi wa kisiasa na wao pia wanaweza kuomba uraia wa Tanzania sio lazima wewe wakezaji. Wawekezaji tuayari tumewapa nafasi na vivutio kuliko hata watanzania wenyewe wadai uzawa au uraia wa nini tena.
 
Duh! Kenya wameruhusu dual citizenship toka mwaka jana. Unaitumia kama reference ya mafanikio? Umesahau wakenya walio nje ndiyo walikuwa wanaongoza kwa kutuma remittances kwao? Tena wakiwa bila dual citizenship?
Sasa nyie watanzania mlio nje mnafanya nini? Someni na mfanye kazi za maana ndipo muweze kuleta ngawira za kueleweka, la sivyo, endeleeni kutuletea fedha za kununulia pamba kariakoo!

Bado sijaona hoja nzito za kuruhusu uraia wa nchi mbili.
Wasome ili wapate kazi za maana?! kama vile umesahau kuwa kuna kazi nyingi tu za maana zinzohitaji muajiriwa kuwa ni raia wa nchi husika?
Ninawajua baadhi ya Watanzania Ughaibuni waliokuwa wakishikilia uraia wao wa Kitanzania, lakini baada ya kukumbana na changamoto za utafutaji wa kazi za maana ambazo zinahitaji muajiriwa kuwa raia wa nchi husika wakalazimika kuchukua uraia wa nchi wanazoishi...kwa kukataa kwako dual citizenship huoni kuwa umewanyima haki yao ya utaifa watu wa namna hii?
 
Faida ni kama tunazozipata kutoka kwa Kikwete, Lowasa, Membe, The Comedy, Nzi, ETM, Mwanakiji na wengine wanaotuletea faida kama watanzania. Na ndio hizo faida wanaweza kuzileta hata sasa. Lakini kwa sheria zilizopo mara tu watakapokuwa na uraia wa nchi nyigine hawataweza tena kuwa Raisi au waziri wa ndani ya Tanzania.

Mbona hizo hazihitaji kuwa na uraia wa nchi mbili?
Duh! Kwa hiyo unataka kutuletea rais mwenye uraia wa Malawi sasa enh?!?

hoja yangu haipo kwenye faida na hasara hoja yangu ipo kwenye haki ya msingi

Haki ya msingi kwa mujibu wa nani?
Kama ni haki yako kwanini uipoteze kwa kuikana na kuchukua uraia wa nchi nyingine?

Kuna wengine ni wahanga wa vita kutoka Somalia, Rwanda wanahitaji kupata uraia wa Tanzania sio lazima wawe wakezaji. Kuna wengine ni wakimbizi wa kisiasa na wao pia wanaweza kuomba uraia wa Tanzania sio lazima wewe wakezaji. Wawekezaji tuayari tumewapa nafasi na vivutio kuliko hata watanzania wenyewe wadai uzawa au uraia wa nini tena.

Sasa hao wahanga wa vita wanataka uraia wa nchi mbili wa nini? Ina maana watataka kurudi kwao siku moja? Kwa hiyo nia yao ni kujibanza Tanzania kwa muda ili baadaye pakitulia kwao warudi, huku wakiwa wametutia hasara ya kuwatunza kama wakimbizi? Unafikiri Tanzania ni msamaria mwema?

Kama ndivyo, Tanzania kuna utaratibu wa kisheria wa kuhifadhi watu wa namna hiyo. Na kama wakitaka uraia wa Tanzania, pia kuna taratibu zake. Mbona kuna wasomali wengi tu kule Tanga walishapewa uraia wa Tanzania na kupewa ardhi ya bure kabisa!!!
 
Wasome ili wapate kazi za maana?! kama vile umesahau kuwa kuna kazi nyingi tu za maana zinzohitaji muajiriwa kuwa ni raia wa nchi husika?
Ninawajua baadhi ya Watanzania Ughaibuni waliokuwa wakishikilia uraia wao wa Kitanzania, lakini baada ya kukumbana na changamoto za utafutaji wa kazi za maana ambazo zinahitaji muajiriwa kuwa raia wa nchi husika wakalazimika kuchukua uraia wa nchi wanazoishi...kwa kukataa kwako dual citizenship huoni kuwa umewanyima haki yao ya utaifa watu wa namna hii?

Vyema.

Wasome na wachukue uraia wa nchi hizo. Kisha waje kama wawekezaji ama expatriates. Si ndiyo wanapenda hivyo?!?

Kama hawataki hivyo, basi wabaki na uraia wa hizo nchi. Hawana faida kwa taifa, kwa sababu ni waoga na wakimbia matatizo wakubwa. Hivi uwa hawajiulizi kama raia wa hizo nchi wanazokimbilia nao wangekimbia matatizo yaliyokuwepo kwenye nchi zao, leo nchi hizo wangezikimbilia na kuomba uraia?

Hamna hoja zaidi ya kutetea maslahi binafsi. Kama umeamua kuukana utanzania, endelea hivyo hivyo na si kulilia vyote. Kumbuka, mshika mbili moja umponyoka.

Pia kuna mtu humu kaongelea suala kwamba sasa tupo kwenye globalised world, sasa bado wana fursa ya kuja kama watu wa mataifa mengine wanavyokuja Tanzania. Tena wenyewe watakuwa na ufahamu zaidi wa Tanzania kuliko watu wa mataifa mengine.
 
yes from me too..many reasons to support the statement..those who oppose havent come up with any reasons apart from one person with the loyalty issue which i think is irrelevant in this modern day and age..bt as an example those remitance that the country is benefited from diaspora happen because of the loyalty of the diaspora to their families back home...these are the the people who attend international sports event to see their fellow citizens representing their roots abroad, their contribution for instance in funding means of widening up democracy should also be acknowledged as loyalty to their people, medical equpiments, scholarships, social events etc all because of their love to the place they call it home..the way i see it living abroad regardless of the status is more like moving from a village to the city looking for a better alternative not for just urself bt the whole family back in the village..on a lighetr note the mega political forces in tanzania have benefited emmensely from diaspora..chadema and ccm have seen a jump in donation from diaspora and as you can see their big wigs are becoming frequent guests abroad seeking for the support of fellow tanzanians who have so much to give back to their motherland...thats loyalty
 
Loyalty for some buddies over there is hardly coded and meant that, you have to be for sure based in zone. Otherwise, you are considered as msaliti. Actually, it's very odd way for getting things convoluted as per dual.
 
Vyema.

Wasome na wachukue uraia wa nchi hizo. Kisha waje kama wawekezaji ama expatriates. Si ndiyo wanapenda hivyo?!?

Kama hawataki hivyo, basi wabaki na uraia wa hizo nchi. Hawana faida kwa taifa, kwa sababu ni waoga na wakimbia matatizo wakubwa. Hivi uwa hawajiulizi kama raia wa hizo nchi wanazokimbilia nao wangekimbia matatizo yaliyokuwepo kwenye nchi zao, leo nchi hizo wangezikimbilia na kuomba uraia?

Hamna hoja zaidi ya kutetea maslahi binafsi. Kama umeamua kuukana utanzania, endelea hivyo hivyo na si kulilia vyote. Kumbuka, mshika mbili moja umponyoka.

Pia kuna mtu humu kaongelea suala kwamba sasa tupo kwenye globalised world, sasa bado wana fursa ya kuja kama watu wa mataifa mengine wanavyokuja Tanzania. Tena wenyewe watakuwa na ufahamu zaidi wa Tanzania kuliko watu wa mataifa mengine.
Mwisho wa siku utakuja kuwafukuza mpaka wanakijiji wenzako waliohamia mijini kwa madai ya kuwa ni waoga na wakimbia matatizo wakubwa.

Siku hizi watu hawana haja ya kuukana Utanzania, mtu anauchukua Uraia wake wa kwenye maboksi (kwenye maboksi wanakubali dual citizenship) na uraia wake wa Kitanzania anabaki nao vilevile!...hii inazidi kuweka presha kwenye upande wenu kuwa inabidi mkubali tu dual citizenship.
 
For whose benefits? I see no benefits to the nation out of offshore investments.
In those nations, it is quite different from how offshore investments in Tanzania operate and benefit the mother country. Investing in those nations as a Tanzanian will benefit more the nations than the home country. Their rules are much stricter than it is in Tanzania; whereby offshore investments have more outflows than inflows.

Kweli? Mara ya mwisho kuja Tanzania ni lini? Naona umeshasahau mazingira ya 'nyumbani kwenu'!!
Ila ni hivi, kwa sasa ukija kama foreign invester or whoever, utapokelewa vizuri kuliko ukija kama mtanzania mwenye senti zako.
Kwa hiyo chukua tu uraia wa nchi hizo, kisha kuja kama raia wa kigeni mwenye nia ya kuwekeza ama vyovyote. Utapokelewa kwa mikono miwili.
Kuna maeneo mengi tu unaweza pokelewa zaidi ya uwekezaji, kwa mfano Chuo Kikuu cha Dodoma kinahitaji sana expatriates na kinawapokea kwa mikono miwili, njooni na mtalipwa mapesa mengi sana.

Really?
Tanzania is doing much better in international trade. The FDI are increasingly booming.
I don't see the offshore investments that you are preaching as good economic ventures to the nation's economy.

What opportunity would it bring to the nation? I don't mind even if the nation becomes a laggard in this issue, until it is clearer about the opportunities to be brought by it.

Why should I be for it? What benefits will the nation get out of it? All those that you are raising can still be done without dual citizenship.

Based on what makes sense for the nation's interests.
What is this so called called 'commonly accepted tradition?' Is this coming from Kiranga mouth or mind?!?

Apparently you are devoid of any notion of how these things work. Let me break it down for you. The reason a Tanzanian living in the US would want to do some offshore acrobatics (and this is an extreme example to drive home the point)is the same reason Mitt Romney did it. To maximize profit and reduce taxation. Why would you say increasing the profit of a Tanzanian enterpreneur, who is most likely to assist the Tanzanian economy by remmittances or re-investing in Tanzania would not benefit Tanzania beats me.

Mara ya mwisho kuja Tanzania lini? Nilikuwepo Sabasaba this year, naangalia the retrogression like some baffled Copernican monk.
Stop talking about ukija kama foreigner utapokelewa vizuri. Utapokelewa vizuri kwa sababu watu wanajua watakutoa upepo vizuri zaidi kwa sababu huna haki za kiraia na utapigwa ma kodi yote makubwa.Hata ukitaka kuingia mbugani rate yako tofautio. Wewe vipi? Mbona unaleta mambo holela holela katika majadiliano ambayo yanatakiwa kuwa makini? Kwa hiyo wewe unataka watu waje kama investors wa nje kwa sababu watapokelewa vizuri zaidi? Halafu muwa harass immigration ku renew visa kila baada ya muda fulani katika nchi yao ya kuzaliwa? Don't give me some informal system bull, that is what we want to do away with in this country, too many freaking njia za panya, you call yourself serious advocating for this sleazy sloth?

Only your undisciplined mind would say "Tanzania is doing better in international trade". Better than what? Even if you say it is doing better than what it did before, which is to be expected, how can you compare that with the situation that allows Tanzanians to have dual citizenship? We have never had dual citizenship for all aspiring Tanzanians, so how can you say it is doing better? How do you know the impact of dual citizenship on international trade? How do you know that you are not fully exploiting Tanzanias potential fully without allowing dual citizenship? How do you know you are not leaving money on the table due to some antiquated patriotism notions? Of course you do not see offshore investments - which you did not understand anyway, so I do not expect you to grasp the concept- as one of the possible areas Tanzanians living abroad could benefit from. And mind you, this was just an extreme example. There are Tanzanians living abroad paying everything through the nose because they cannot take citizenship in these countries and legally remain Tanzanians.

What opportunities does it bring to the country? I will give you a simple example. Kuna mshkaji alipata interview ya kufanya kazi United States Federal Reserve. Kazi ambayo sio tu inge advance career yake, lakini ingempa an inside look at how the US Federal Reserve inavyofanya kazi na angeweza baada ya miaka michache kurudi Tanzania na kuchangia vizuri sana kwa hiyo experience. US Federal Reserve's employment agency wakaangalia resume yake nzuri, wameipenda, wakamwambia jiandae kwa interview. Jamaa kasema poa. Wakamuuliza swali moja, wewe ni raia wa Marekani? Jamaa akatokea hana uraia. Wakamwambia samahani sana hii kazi ni kinda sensitive kwa US government kwa hiyo wanataka raia tu. Wabongo wana ma qualifications ya kufanya hizi kazi, lakini hizi habari za kukataa dual citizenship zinawazuia kuchukua ujuzi na ku advance careers, kujenga ma network makubwa huko.Kaimabie familia yake huyu kwamba dual citizenship haileti opportunities kwa Watanzania na Tanzania by proxy.

Multiply that by tens of thousand times and you are retarding the building of tens of thousands of quality cribs, small businesses and millions of dollars in remittances that would help families home to undergo medical procedures, pay school fees, buy cars etc etc.

Ukisema "all that you are raising can be done without dual citizenship" ni kama vile unamwambia mtu "kwa nini tuhitaji magari na ndege wakati tunaweza kusafiri kwa punda?". You do not seem to appreciate the multiplier effect dual citizenship will bring.

You are not advancing Tanzanias interests by being an isolationist, you do so by moving with the world.This commonly held tradition is the medieval concept of a Westphalian nation-state as incepted in the Thirty Years War. It is antiquated and on it's deathbed, but I doubt you have done your homework to even know what that is, so maybe Google a little and update yourself.

I have bigger fishes to fry than dual citizenship, eventually the entire Westphalian model is bound to fail as commerce takes over. And you could very well be left holding the bags.

Responsibility To Protect ndo hiyo eventually inaua pure sovereignty. Globalization ndo hiyo tayari ishawa force kuwa na vyama vingi na kuuza mashirika penda msipende. Si bora mruhusu hiyo Dual Citizenship angalau tuwe na watu wetu humo kwenye mi Federal Reserves tukiona zinafanya maamuzi ya kutu impact drastically angalau kuna watu wa kutu alert ahead of time watu wakafanya efforts za ku pre-empt? Leo tunajizuia kuwa na watu watakao gather hata intelligence kwa faida ya nchi!
 
Wasome ili wapate kazi za maana?! kama vile umesahau kuwa kuna kazi nyingi tu za maana zinzohitaji muajiriwa kuwa ni raia wa nchi husika?
Ninawajua baadhi ya Watanzania Ughaibuni waliokuwa wakishikilia uraia wao wa Kitanzania, lakini baada ya kukumbana na changamoto za utafutaji wa kazi za maana ambazo zinahitaji muajiriwa kuwa raia wa nchi husika wakalazimika kuchukua uraia wa nchi wanazoishi...kwa kukataa kwako dual citizenship huoni kuwa umewanyima haki yao ya utaifa watu wa namna hii?

Ahsante Sideeq.

Nimetoa mfano hai wa mtu ninayemjua ambaye alikosa kazi ya nguvu US Federal Reserve kwa sababu tu hakuwa raia wa US.

Mimi ndo maana nasema dual citizenship itakuja automatic kutokana na economic forces. Kuna kipindi hata sie die hards tulioisubiri miaka kumi na ngapi sasa tutajichokea na kuona bora tuchukue mikoba ya watu tu.
 
Back
Top Bottom