Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Kwanini Mbunge anaiuliza Serikali ni lini italeta muswada wa kubadili sheria wakati wao ndio kazi yao, kuleta miswada na kutunga sheria?

Wapo wabunge wengi wa aina hii wasiojua kazi zao na nguvu waliyonayo. Wengi wanafikiri kazi yao ni kupiga tu porojo na kuuliza maswali ya kuwafanya waonekane na wapiga kura wao kwenye luninga/radio wakati wa vikao na baadaye kupitisha kila serikali wanalotaka. Hawa ni wengi sana Bungeni.
 
Yani kweli hawajui kwamba wao pia ndio waleta miswada?
 
Hili la dual citizenship linaweza kupita haraka haraka kwani hata mafisadi wanalipenda!
 

Mwazange,Mheshimiwa Mkuu wa Kaya anakuja kwenye zone yako....(mid August)na kwenye Msafara wake Mawaziri wanaohusika na hayo mambo ya Dual Citizen wote wapo (Membe na Masha),kwa maana hiyo Tafuta muda uwatupie hilo swali,nafikiri watakupa jibu zuri...Suala hili limekuwa gumu serikalini kwani wasomi wetu recommendations zao hazikuwa nzuri sana.
 
Suala hili limekuwa gumu serikalini kwani wasomi wetu recommendations zao hazikuwa nzuri sana.

100% correct, recommendations za wasomi wa UDSM ndio zilizika kabisa suala hili na kuwakosesha nguvu viongozi waliopenda kupitisha dual citizenship. Kilichobaki kwa viongozi kama akina Membe & Co ni kuendelea kuwapa moyo wananchi huku wakijuwa kwamba dual citizenship ni ndoto.
 


Siku anaingia mitini hataki kabisa habari ya kuzungumza na wabongo. Anatumia muda wake mwingi kwenye deal zake na watu kama kina Sinclair, hovyooo!!
 


Sasa mbona wahalifu ndio wanamiliki passport mbili au zaidi pale bongo. Na wakishafanya mambo yao wanatimua, yuko wapi Vithlaini (yule mhindi wa rada), na sasa tusubiri kama Rostam Aziz hajatimka hivi punde!
 
Hizo recommendations za UDSM zilikua zipi? Kuna mtu anazo karibu?
 
Mwazange,Mheshimiwa Mkuu wa Kaya anakuja kwenye zone yako
Na hata akienda huwezi kujua ratiba yake, nasikia watu wa balozi nao ni kichefuchefu tosha, wanadhibiti schedule ya muheshimiwa ili watu wasiseme uoza wao. Basi ni balaa juu ya shida. Na nilisikia ana kilongalonga unachoweza kumtwangia dairekti. naombeni namba; atapata habari tu.
 
Sikubaliani na mawazo yako kuwa kuwa na uraia wa nchi mbili ni makosa! Kosa gani? Wanaopinga wazo hili nahisi wanakosa mtazamo huru. Mnakuwa "guided" na ufinyu wa fikra au woga wa vitu, watu au hali fulani mnazodhani zitaletwa na hao watakaokuwa na uraia wa nchi mbili! Kutanua hoja zaidi, napenda kuwafahamisha wapinzani wa hilo wazo kuwa zaidi ya uraia wa nchi mbili, kuna watu wana uraia wa nchi tatu, wengine hata nne. Kwa nchi zilizoendelea na zinazofuata sheria, hicho siyo kipingamizi! Uraia ni kama hati au taratibu ambazo mtu anatakiwa kuzifuata/kuzikamilisha ili aweze kuishi nchi/sehemu fulani kisheria bila ukorofu, na inamlazimu afuate sheria za hapo anapoishi. Kukurahisishia mjadala, ni sawa na mtu akitaka kuishi ktk nyumba mbili ktk miji miwili tofauti, tuseme Mwanza na Mtwara. Akiwa Mwanza inambidi afuate sheria za hapo, alipe kodi hapo, n.k. hiyo haina maana kuwa akifanya hivyo Mwanza basi haruhusiwi kufanya hayo hayo Mtwara.
Kumbuka kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani ambapo tunathamini na kuwapa heshima kubwa wageni kuliko watanzania wenyewe wazaliwa. Ikiwa hufahamu hili, jaribu kufika airport, utaona kuwa mtanzania anyerudi kwao, anazongwa na foleni kali na maswali yasiyokuwa na lazima, wakati foreigner ambaye anathubutu kupanda ndege bila hata ya kuwa na viza ya tanzania, anakuja kuiombea hapao hapo airport na kisha anawahi kupewa ruhusa kuingia kabla hata ya sisi wazaliwa kurusiwa!
Kuna kitu kinaitwa globalization ambacho kinakuja kwa nguvu kali sana na hakizuiliki kwani wanachokishikia bango ni wale ambao wana uwezo na wanatawala dunia hii kwa uwezo. Je, wewe mpingaji wa uraia wa nchi mbili unaljiweka wapi ktk suala hili?
 
Dear Nyamgluu!
I must confess that you are totally wrong in your arguments! I suspect that you are motivated by a limited number of factors that are somehow embedded within your mind (like advantages of some investment incentives) and convince yourself that by opposing the dual citizenship you are actually fighting for your country!
Furthermore you confuse yourself and other members by comparing dual citizenship with serving two masters, wife - husband situation and sexuality. How come? Wel to confuse you further, I may be a transexual and a citizen of three countries! How about that!
History has taught us that it is very costly to learn from ones own mistakes. It is wise to learn from mistakes of others if and when conditions bear similarity. I do not know your location and history awareness, but must remind you a number of occurences: France was liberated from Hitler's occupation, amongst others by forces that resided outside france during world war II, Israel is being financed, its security assured, its problems solved mainly by a huge number of Israel citizens or descendants thjat are in the U.S.A. and western europe, and that even as we discuss, United Kingdom regards white Zimbabweans as the citizens of UK, and that is why they pay so much attention to their situation.
You do not slve the problems of "haves" and "have not" by discriminating those you think "haves" from coming back according to their wishes to live and or invest in Tanzania. You do solve this problem by "jobs" and "wealth creation". To do so you need investments, capital, flow of ideas etc. Mind you, your stance is far from being patriotic. You are actually being radical nationalistic. We do not need that in peaceful Tanzania. Wake up!
Denying Tanzanians dual and even tri-citizenship is denying them a nd their descendants a basic human right that they deserve. These people have a lot to payback to our social, economical and even political arenas that this country needs and deserve as well. If anyone is against exploitation of Tanzanians, take a closer look at some foreigners in the country who are employed as "expatriates" and being paid huge sums of money, allowances, allocated servants and drivers at 24 hrs disposal, while they have little or no knowledge of what they are doing! Personally I know a few, who were ice cream venders or did some odd jobs back home in europe before being given the "expatriate status". Fake foreign companies that are given rights to explore our natural resources almost for free, pay no taxes, and take all the profit outside the country! This is the real exploitation that you should be against and fighting! Examples are endless....
I hope that I have helped open and broaden the debate, setting he horizons further than the end of our noses.
 
Sikubaliani na mawazo yako kuwa kuwa na uraia wa nchi mbili ni makosa! Kosa gani? Wanaopinga wazo hili nahisi wanakosa mtazamo huru. Mnakuwa "guided" na ufinyu wa fikra au woga wa vitu, watu au hali fulani mnazodhani zitaletwa na hao watakaokuwa na uraia wa nchi mbili! Kutanua hoja zaidi, napenda kuwafahamisha wapinzani wa hilo wazo kuwa zaidi ya uraia wa nchi mbili, kuna watu wana uraia wa nchi tatu, wengine hata nne. Kwa nchi zilizoendelea na zinazofuata sheria, hicho siyo kipingamizi! Uraia ni kama hati au taratibu ambazo mtu anatakiwa kuzifuata/kuzikamilisha ili aweze kuishi nchi/sehemu fulani kisheria bila ukorofu, na inamlazimu afuate sheria za hapo anapoishi. Kukurahisishia mjadala, ni sawa na mtu akitaka kuishi ktk nyumba mbili ktk miji miwili tofauti, tuseme Mwanza na Mtwara. Akiwa Mwanza inambidi afuate sheria za hapo, alipe kodi hapo, n.k. hiyo haina maana kuwa akifanya hivyo Mwanza basi haruhusiwi kufanya hayo hayo Mtwara.
Kumbuka kuwa Tanzania ni moja ya nchi chache sana duniani ambapo tunathamini na kuwapa heshima kubwa wageni kuliko watanzania wenyewe wazaliwa. Ikiwa hufahamu hili, jaribu kufika airport, utaona kuwa mtanzania anyerudi kwao, anazongwa na foleni kali na maswali yasiyokuwa na lazima, wakati foreigner ambaye anathubutu kupanda ndege bila hata ya kuwa na viza ya tanzania, anakuja kuiombea hapao hapo airport na kisha anawahi kupewa ruhusa kuingia kabla hata ya sisi wazaliwa kurusiwa!
Kuna kitu kinaitwa globalization ambacho kinakuja kwa nguvu kali sana na hakizuiliki kwani wanachokishikia bango ni wale ambao wana uwezo na wanatawala dunia hii kwa uwezo. Je, wewe mpingaji wa uraia wa nchi mbili unaljiweka wapi ktk suala hili?
 
Tunakataa uraia wa nchi mbili lakini wahindi wote wanaotuibia wana uraia wa nchi mbili Jituuuuuuuuuuuuuuuu Patel amekwiba na amekimbia lakini kama tungeruhusu tungejua hilo mapema na tungeweza kujiepusha kwa kuzuia pasiport zake zote mbili, kilichotekea ni kwamba amepeleka pasiport ya Tanzania na akaficha ya Uk na ndipo alipoweza kukimbia.

Ukitaka kufaya mabadiliko auangalii Historia kwani hata mfumo wa chama kimoja sasa haupo na mwasisi mwenyewe ndio alikuwa wa kwanza kuuvunja ( JK Nyerere), sasa kwanini kusiwe na mabadiliko ya uraia wa nchi mbili.Watanzania tusiogope challenge,cha kufanya ni kuwekwe utaratibu mzuri wa kuhakikisha watu hawapati lopphole za kufanya ujanjaujanja.
 
Ninaamini hata sasa wapo wahindi wengi tu wenye uraia wa hapa Tz na kwingine wanakojua hasa India, UK, Canada, na US.
Na si kwamba haijulikani. Inajulikana bwana. Kwani kazi ya Immigration officers ni kukaa mipakani kungoja kugonga mihuri kwenye passport?
Bwana weeeeeee wanajua kabisa kuwa hawa wahindi wanajidai kuwa na uraia wa hapa lakini wengi wanao wa nje pia.
Wapo na ngozi nyeusi pia wana uraia wa nchi nyingi na wengine nahisi watakuwa hata katika government.
Shida kubwa ni kwamba wengi wanafanya hivi for climinal reasons.
Je sasa tukiwaruhusu si tumekwisha?
Nia ya uraia wa nchi bili ni nzuri lakini hasara yake tutalia sana.
 
Uraia wa nchi mbili siyo ticket ya kufanyia ufisadi katika nchi yeyote ile duaniani. Tukumbuke kwamba Balozi wa Marekani nchi Tanzania alimwambia JK kama sikosei mwezi wa pili au wa tatu mwaka huu kama serikali ya Tanzania ingehitaji msaada wa kumrudisha Ballali nchini kutoka Marekani ambako inadaiwa alikuwa ana uraia basi serikali yake ilikuwa tayari kusaidia, lakini JK hakuomba msaada huo. Wa kulaumiwa hapa si uraia wa nchi mbili bali ni JK kukosa ujasiri wa kupambana na mafisadi.

Huyo Jitu Patel kama yuko UK na JK akimuomba Brown amrudishe Tanzania kwa sababu anahusika na kashda mbali mbali za wizi wa mabilioni, basi Primi Minister Brown hatashindwa kufanya kuisadia Tanzania, lakini ukweli ni kwamba JK hana ujasiri na angekuwa na uwezo angelinyamazisha hili la mafisadi ili lipotee tu, lakini Watanzania wa 2008 siyo wale wa mwaka 47!!!

Kwa hiyo ni makosa kwa baadhi yenu kudai na kudhani kwamba uraia wa nchi mbili ni ruhusa ya kufanya uharamia/ufisadi na kisha kukimbilia nchi nyingine, hizo ni alinacha zisizo na kichwa wala miguu.
 
Tunataka uraia wa nchi mbili..hatutaki kubanwa tafadhari!
 
Tunataka uraia wa nchi mbili..hatutaki kubanwa tafadhari!

Hakuna cha uraia wa inchi mbili wala nini.....McCain akishinda wewe ni deportation tu....kwa jiandae kuisalimia Kipawa.....
 
Hakuna cha uraia wa inchi mbili wala nini.....McCain akishinda wewe ni deportation tu....kwa jiandae kuisalimia Kipawa.....

...Wow...look this moron still linaongelea deportation...wajanja wote humu walio states tulimaliza hizo game za kitoto za papers tangu tupo college mpuuzi wewe,nasikitika sana kama huna paper bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…