mtu hazaliwi mzalendo bali huzaliwa mwananchi.
hivyo uraia wa nchi zaidi ya moja hauwezi kumfanya mwenye
kuwa nao awe mzalendo zaidi au akose uzalendo.
kwani wote waliosaini mikataba mibovu ya madini, waliohusika na unyanyasaji wa wananchi huko loliondo na kwingine, waliouwa mashirika ya umma, mafisadi wa epa nk walikuwa na dual citizenship?
[/QUOTE]
Ahsante sana Mkuu Kafara, umeongea point kubwa sana inayoonyesha kwamba muuza nchi si lazima awe na uraia wa nchi mbili ili kuingiza mkenge nchi yake. Na hivyo hili la kudai kwamba watakaokuwa na uraia wa nchi mbili watakosa Uzalendo halina nguvu wala mshiko maana hata wale ambao hawana uraia wa nchi mbili pia mara nyingi tu hawana uzalendo na kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha hilo.
Hivi kwani .. ni kwa nini unataka kuwa raia wa nchi mbili?
Wewe usietaka si ukae kimya, pilipili usiyoila yakuwashia nini????????????
Ndiyo ntima nyongo yenyewe hii ndugu yangu...kama mimi siwezi kufaidika basi wote tusifaidike....tukose wote....maana hawa wanataka wafaidi huko waliko na wanataka wafaidi tena hapa Bongo.
Membe is Live on TBC, nashauri wana JF mkamsikilize vema kisha tutaweza kujenga hoja zaidi
Nimemsikiliza sana ila ameshindwa kujibu hoja za wanzake na badala yake anatumia nguvu kufikisha ujumbe.
Binafsi siona kama kuna sababu kung'ang'ania mambo na sheria za mwaka 47. Watu wapewe uhuru wa kuwa watoto wa bibi (UK citizens) au BO (US) etc bila kulazimishwa kupoteza uraia wao wa kuzaliwa. Wale wazee waliokuwa wanapinga suala hili hawajatoa pointi za kunishawishi ingawa na Membe amekuwa mchangiaji wa hovyo hovyo!
Dark City na wenzako!
Acheni upuuzi kupigania haki ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja haina tofauti na kuandamana kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Tatizo lenu ni kukumbatia sera za kihindi na kila mdharau chake hukweza cha mwenziwe. Always kutakuwepo na conflict of interest. Suppose wewe ni raia wa Tanzania ukatamani kuwa raia wa Kenya; ikatokea vita au ugomvi kati yenu and we start pushing Kenyans out can you for a while imagine what will happen? And don't rule out tukio kama hilo. Mwaka juzi tunajua kilichotokea kati ya Russia na Georgia unless hamsomi historia plus current affairs.
Let us simply draw the line sharti uwe na uraia mmoja only at a time. If you go further ni sawa na mwnamke kuolewa na wanaume wawili at the same time it is not functional hata wakiwa ndugu ! So don't waste this precious column kutetea kitu ambacho kwa hakika sio endelevu. Thesa things come and go pronto!
Katika enzi zetu going to UK then Great Britain from Tanzania you needn't have to apply for a viza just show your Passport at the customs na wanakugongea a stay of three months hata kama huna ndururu and the indians black and white/africans flocked Earls Court ;na vitongoji vyote vya London wakila fufu na maharagwe pamoja na ndizi kule Tottenham!! thubutu leo with the islamization of TZ KUPATA VISA YA UK its almost like trying to go to the moon !!! Tena siku hizi lazima uende Nairobi na bado you fools envy going to UK where its no safer than Darfur or Iraq.
Siku hizi its not a deal kwenda kubaguliwa you ask those chaps who are suffering in the USA with their Green cards Citizenship simply wanaona noma kurudi ati tutawacheka just come back home guys huko you won't get any glory!!!
kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja haina tofauti na kuandamana kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

Nimemwona Bernad Membe jana kwenye TV akiwa anaishupalia hiyo hoja, hadi anawavuta watu mashati wanyamaze aongee mwenyewe! "Mpaka nikawaza pengine na yeye tayari ana uraia wa nchi mbili, anahitaji sana huo uhalalisho".
Political promiscuity?