Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani.
👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa.
Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa kizazi chetu na hata kinacho.
Uraibu unapoteza ndoto za watu wengi sana. Kuna kundi la vijana wanapotea, wanafilisika na mwisho wa siku kupata msongo wa mawazo unaopelekea vifo vyao.
Ili utimize ndoto zako, kitu cha kwanza kabisa, yale mambo mabaya, ya kumaliza pesa ama nguvu zako, yasiwe addition kwako.
👉 I mean no malice to nobody.

- Mifano ya uraibu wa hivi karibuni ni
- Uraibu wa kubeti michezo ya kamari.
- Uraibu wa unywaji pombe kupita Kiasi,
- Kujichua kwa Aina yoyote, hii huusisha msuguano wa viungi vya uzazi, iwe kwa ke au me.
- Uraibu wa ngono iliyo pitiliza.