Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Nimekula nimeshiba, nimekunywa kidogo, Nimelipa Kodi, sidaiwi, na akiba kidogo CRDB, team zangu nazoshabikia zinafanya powa kuanzia jangwani hadi Madrid afu nisingonoke 🤔🤔labda sio mimi
Kaka Kama una mwenzi mmoja (mkeo) hio Safi, ila sio kila sketi una ikimbiza😂😂.
👉Kuna upotevu was pesa, muda na hata afya
 
Sawa tunashukuru kwa picha ila kwan ungepungukiwa nini kama ungekafanya kapicha kawe kadogo tu namna hii??👇👇👇👇
Screenshot_20231116_193056_Samsung Internet.jpg

NB:
Tecno na infinix ndio huwa na screen ndefu sana.

Ahsante
 
Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, una taka mno kuwa na hisia fulani.
👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa.

Kwa miaka ya karibuni kume ibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipo kemewa basi ita pelekea kupotea kwa kizazi chetu na hata kinacho.
- Mifano ya uraibu wa hivi karibuni ni
- Uraibu wa kubeti michezo ya kamari.
- uraibu wa unywaji pombe kupita Kiasi,
  • kujichua kwa Aina yoyote, hii huusisha msuguano wa viungi vya uzazi, iwe kwa ke au me.
  • uraibu wa ngono iliyo pitiliza.
Kuna maujinga mengi vijana tuna fanya, of course hata mimi nafanya lakini huwa siya ruhusu kuwa na addiction sana kwangu. Kila ninachokifanya huwa ninakifanya kwa kiasi, sifanyi kitu kupitiliza.

Uraibu una poteza ndoto za watu wengi sana. Kuna kundi la vijana wanapotea, wanafilisika na mwisho wa siku kupata msongo wa mawazo unaopelekea vifo vyao.

Ili utimize ndoto zako, kitu cha kwanza kabisa, yale mambo mabaya, ya kumaliza pesa ama nguvu zako, yasiwe addition kwako.
👉 I mean no malice to nobody.

View attachment 2815716
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom