Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mambo ya kuhemeana 😁kero tupu sogea tukae kwa kwenda mbeleHata mi mwenyewe sijui ka nita oa 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya kuhemeana 😁kero tupu sogea tukae kwa kwenda mbeleHata mi mwenyewe sijui ka nita oa 😂😂😂
Hapana chief , inahusiana na mada..maana huu ndio uraibu wangu sasa naona unavyoni tesa kama kichwa cha uzi kinavyosemaUna tamba au sio🤔🤔🤒, Sasa una mtangazia nani Ume ongea masaa 3
I mean no malice bro, but it seems your just bluffingHapana chief , inahusiana na mada..maana huu ndio uraibu wangu sasa naona unavyoni tesa kama kichwa cha uzi kinavyosema
Pole sana mkuu!😁mziki wake nauelewa afu ukute raia nyomiHapana ..kwa leo no way niko tired sana sikukua kama kuongea kingereza masaa 3 mfululizo kuna maliza nguvu za mwil na kusababisha kichwa kuuma
Ahahahah ofcz it not serious 🤣🤣I mean no malice bro, but it seems your just bluffing
Mara Ume jifunika shuka, una stuka mwenzio kaku funua😂😂😂Mambo ya kuhemeana 😁kero tupu sogea tukae kwa kwenda mbele
Tatizo Intelligent businessman hataki kukubal anaona nazinguaPole sana mkuu!😁mziki wake nauelewa afu ukute raia nyomi
Si una jua Niko nanjilinjii, so washamba hatuwezo kuku Elewa😂😂🤔Tatizo Intelligent businessman hataki kukubal anaona nazingua
Ukiwa vizuri kwenye grammar, hausumbuki.Pole sana mkuu!😁mziki wake nauelewa afu ukute raia nyomi
Mkubwa don't take it personallyMnapata pesa kabla ya kujua pesa inatumikaje, lazima uwe mtumwa.
Hamnaaa..tatizo ni vikao serious na foreigners..and not just normal english but technically proffesional conversationUkiwa vizuri kwenye grammar, hausumbuki.
👉Una kuwa una flow tu, ila ukiwa mzee wa ku force ka Ivan Stepanov lazima uumwe😂😂🤒
Kaka Mimi jobless, nipe hata ukata Maua🤒Hamnaaa..tatizo ni vikao serious na foreigners..and not just normal english but technically proffesional conversation
Sio tu kukata maua, yan ni style ya Roma mkatoliki, nakupa maua yako kabisaaaaKaka Mimi jobless, nipe hata ukata Maua🤒
Kama ni vikao at least maana mnakua na uhuru flan sasa ww ukute presentation ya system afu panel ya madoctor huyu anadeal na database tu, mwingine interface mwengine mambo ya security ukipigwa maswali mawili matatu unaingia panic mode 😁Ukiwa vizuri kwenye grammar, hausumbuki.
👉Una kuwa una flow tu, ila ukiwa mzee wa ku force ka Ivan Stepanov lazima uumwe😂😂🤒
Itakua hajaanza harakati za kigumuTatizo Intelligent businessman hataki kukubal anaona nazingua
Mi bado bado mpaka pressure ya familia iwe kubwaMara Ume jifunika shuka, una stuka mwenzio kaku funua😂😂😂
Kaka mimi jobless tu, hayo Mambo siyajui😂😂.Itakua hajaanza harakati za kigumu