Alaf kuna kitu umenisanua kaka, inakuaje kutongoza inakuwa shida kupata mwanamke siku hizi inanifanya natafuta madada poa tu, natongoza sana wanawake wa mitaani siwapati wananipotezea.
Naona najitia mikosi, kuna kipindi nlikuwa kwenye maombi na kutumia tiba ya chumvi ya mawe mikosi ilipungua mpaka nikajikuta nimefanikiwa kwenye jambo adhim la kuendesha maisha yangu na kuweza kujitegemea mwenyewe.
Sasa naona nimezidi katika uraibu wa kupenda ngono kupita kiasi.
Hili lazma nilitafakari kuna roho chafu inanitembelea sio siri.