Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Wife hakupi mikosi na nuksi ?🤣
Au yeye mikosi yake ni yako na yako ni yake hadi kifo kitakapowatenganisha?
Ndoa ime Barikiwa Kaka, Japo Kuna suala la nyota Tena🤒.

Ila ndoa ni muunganiko wa kiroho ma mwili, so hiyo si sawa na kuvaa pulizio ili ungije
 
Hapo kwenye betting ni janga la kitaifa.

Nimeshuhudia zaidi ya mara moja watu wazima above 50 nao wakifanya hilo jambo sasa hujiuliza kama mzee zaidi ya 50 anafanya hivi ataweza kweli kumpa kijana wake aliyekosa ajira rasmi ramani ya kutoka kivingine?
Serikali ndo chanzo cha haya yote
 
Kutumia madawa sisupport ila how do u measure ngono iliyokithiri..wat is the limit..na hio limit kaweka nani kwa misingi ipi..all in all unachofanya ni kukataza watu vitu ambavyo either we unaogopa, hupati au hupendi.
Awap kuna watu wamezid unakut mtu kila siku anagonoka mwil utaisha
 
Binafsi naona addiction kubwa tulionayo vijana ni screen time, simu muda wote!
 
Back
Top Bottom