Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

Tiba halisi Ina toka ndani yako mzee, kwa kuwa ume kiri Ina paswa uchukue hatua.
👉Omba Toba ili mkono wa MUNGU ukuone.
👉Tambua hasara ya hicho unacho kifanya, Kuna hasara za kifedha na muda pia
Mzee ujana kwangu unakuja vibaya, yaan nakuwa na hisia hadi mwili unapata moto
 
Hapo kwenye betting ni janga la kitaifa.

Nimeshuhudia zaidi ya mara moja watu wazima above 50 nao wakifanya hilo jambo sasa hujiuliza kama mzee zaidi ya 50 anafanya hivi ataweza kweli kumpa kijana wake aliyekosa ajira rasmi ramani ya kutoka kivingine?
Majanga sana
Screenshot_20231116-185737_1.jpg
 
Kaka fanya maombi Kaka, tumia tiba ya chumvi ya mawe ni msaada pia
Alaf kuna kitu umenisanua kaka, inakuaje kutongoza inakuwa shida kupata mwanamke siku hizi inanifanya natafuta madada poa tu, natongoza sana wanawake wa mitaani siwapati wananipotezea.

Naona najitia mikosi, kuna kipindi nlikuwa kwenye maombi na kutumia tiba ya chumvi ya mawe mikosi ilipungua mpaka nikajikuta nimefanikiwa kwenye jambo adhim la kuendesha maisha yangu na kuweza kujitegemea mwenyewe.

Sasa naona nimezidi katika uraibu wa kupenda ngono kupita kiasi.

Hili lazma nilitafakari kuna roho chafu inanitembelea sio siri.
 
Daah
Daah yaan najiona napoteza hela tu kwa kutafuta madada poa ambao hata shukran hawana wao hela mbele tu.

Nitajikagua kaka hii hali si ya kawaida
na sio kutafuta binti was kuwa nae kwa ajili ya ngono tu.(la hasha).
👉Lengo ni kuwa na mipango sahihi, ikiwemo kutengeneza familia thabiti.
 
Back
Top Bottom