Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #121
J. Mushi, "kafir" ni mtu asiyeabudu kabisa!. Wakristo sio makafiri, hata wapagani, nao wana miungu yao wanayoiabudu!.Nilipokuwa nikisoma boarding school,mwezi mtukufu wa ramadhani,afya yangu ilikuwa ikijengeka sana kwasababu ya maakuli bora ya mfungo.Mwezi wa Ramadhani ulikuwa ukifika,ilikuwa furaha hata kwa "makafiri" wenye marafiki wakaribu ambao ni waislam kama ilivyokuwa kwangu.We huwa unadowea daku?
Ni kweli kabisa, niliania sana UDC nilipokosa, sasa nawania kupitia kwa Ziito!.PASCO najua unachokijadili hapa,si kingine nilishawahi kukuambia unawania u-Rweyemamu wa 2015.Ila angalizo:CDM ni chama cha watu,wataamua nani apeperushe bendera.
Kumbe ukitoa ushauri wowote humu jf ndio unageuka mshauri wa Chadema?. Mimi kama mwanachi wa kawaida, nikutanapo na hawa viongozi wetu, huwa free kuzungumza lolote, kushauri lolote na kuuliza lolote!. Au kwa vile mimi ni mfuasi wa EL sasa ndio mnashangaa ninavyomsupport Zitto?!.Pasco acha hizo tangu lini wewe umekuwa mshauri wa CDM.
Mkuu FJM, Zitto alipogombea uenyekiti Chadema, yalimkuta haya haya kwa vile kuna wana Chadema wanaabudu watu!, kwao maadam Mbowe ni Mwenyekiti, yoyote atakaye mchallenge huonekana adai na kitendo hicho kinaonekana kama ni usaliti!.Sijaelewa ni kwanini Pasco amemrukia Dr Slaa? Ni kitu gani hasa kilichomsukama Pasco aone Dr Slaa is fair game kwenye mjadala wa urais toka upande wa Zitto? Why Dr Slaa?
Nikawauliza, hivi mnaujua msimamo wa huyo mtarajiwa?!. Kwa vile niliongea nae off the record, naujua msimamo wake!, nawashauri Zitto asimbezwe!.
Amini nawaambieni, harakati hizi zingefanywa na Dr, hakuna yoyote ambaye angetia neno!.
Pasco,anajua sana anchokifanya......Anatafuta easy ride kwa aspirant wake wa ccm mwaka 2015.Anaelewa tishio la chadema kuwa na unity.CHADEMA itavuka salama.Tutashinda uchaguzi mkuu 2015.
Like a compass that always points in the direction of the magnetic north after every disturbance, so the attitude of its members always assumes the poise of unity after every episode of unrest.
We cannot beat our chests and pride ourselves on the party. We should not rest content with this height that we have been able to carry the party to. The room for self improvement is the largest room in life.
There is ever room for improving ourselves and by extension, our party. I do not believe that what we have attained today is the picture that the founding fathers of our great party projected when they rallied round for its establishment.
99 Problemaa, nimpigie Zitto kampeni ya nini?, mimi si nafahamika wazi mgombea wangu ni nani na ni wa chama gani?.Mkuu, Pasco,
Mi nachoona unampigia Zitto kampeni,je kuna hata Dr.Slaa amekuambia kuhusu msimamo wake ina maana hakuna wengine zaidi yake?sielewi maana huu si mda wa kuzungumzia kuhusu urais ila zitto anapoanza hizi kauli inaonyesha kabisa kuna reason behind.
Inafamika mgombea wako ni EL,kwanini hujiulizi maadui wa CDM ndo wanaompenda Zitto?kwanini Zitto anapata support nje ya CDM?hapo ndo sehemu maadui wa CDM wanataka kupenyeza iliwa wasambaratishe CDM maana wanajua Zitto akisimamishwa itakuwa rahisi wao kufanikiwa na ndoto ya kuendelea kukaa kwenye mamlaka itatimia99 Problemaa, nimpigie Zitto kampeni ya nini?, mimi si nafahamika wazi mgombea wangu ni nani na ni wa chama gani?.
Huu ni ushauri nimewapa watu wa Chadema!. Kama kuna na wengine si na wao wajitokeze, washindanishwe!.
Mkuu una uhakika na unayoyasema?ebu tummulize ndugu Mkandara kama wewe ukiwa mkristo ama huna dini basi wewe ni mkafiri,pengine nimekosea,niko tayari kusahihishwa.J. Mushi, "kafir" ni mtu asiyeabudu kabisa!. Wakristo sio makafiri, hata wapagani, nao wana miungu yao wanayoiabudu!.
Mimi huwa sidewei daku, bali huwa nafuturu kihalali kabisa!. Kuikweli napenda futari! ila sio daku!.
Kwa vile nilishazema toka juzi, jana, leo na kesho nitasema tena, mimi Pasco wa jf, sina chama!. Lakini kiukweli, CCM ndicho chama tawala kilichoko madarakani, namfagilia sana EL kama atakuwa ndie mgombea wa CCM, na nikasema kama afya yake ni mgogoro kuhimili pilika pilika za uchaguzi wa 2015, then the second best candidate kwa CCM ni Membe!.
Mwenye masikio na asikie!.
Pasco.
12:24 am
Wakuu kwanza lazima nikiri wazi kuwa baadhi ya wapenzi wa Chadema mliojibu uzii huu uu miongoni mwa hazina kubwa ndani ya Chadema kutokana na genuinity na objectivity ya majibu yenu makini kwenye hoja hii.
mchambuzi,kuwaamini ccm kutatoka wapi?Labda hili swali ni specific kwa Pasco,kama ni pa kuipeleka nchi kuna slogan bora kutoka ccm kama ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania"?Kwa wengine wetu,hakuna watakachosema ccm tukawachukulia serious,so tatizo mnalo chama kizima.Hawa ni aina mbili tofauti kabisa ya viongozi in character, experience and positions on issues; kutokana na hili, ni dhahiri kwamba iwapo wote watafikia hatua ya kuingia kwenye top five katika uchaguzi wa ndani CCM iwapo watagombea na hivyo kupata wasaa wa kujieleza mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa taifa, tofauti hizi zitaonekana bayana kabisa kwani kwa mfano, kila mmoja atakuwa na msimamo tofauti kabisa juu ya wapi anadhamiria kuipeleka nchi yetu kimaendeleo, nini viwe vipambele vya sasa, muda wa kati na muda mrefu in terms of domestic issues and foreign policy kisiasa, kijamii na kiuchumi; kutokana na hili, ndugu Pasco, ningependa kujua, je:
1. Ni vigezo gani unavyotumia kujenga hoja kwamba best candidate ni Lowassa and Membe as the second best candidate?
2. Na kwa vile inaonyesha kwamba unaona Zitto pia can make a good presidential candidate, ni kigezo gani unatumia kujenga hoja yako, hasa ikizingatiwa kwamba Zitto, Membe na Lowassa ni aina tatu tofauti kabisa ya viongozi based on hoja yangu ya msingi hapo juu?
mchambuzi,kuwaamini ccm kutatoka wapi?Labda hili swali ni specific kwa Pasco,kama ni pa kuipeleka nchi kuna slogan bora kutoka ccm kama ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania"?Kwa wengine wetu,hakuna watakachosema ccm tukawachukulia serious,so tatizo mnalo chama kizima.
'Genuinity' ndiyo nini?