Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania



Siasa na drama za chama tawala.
Wanajua vizuri walifanyalo.
Sasa badala ya opposition wakomae na yao watakuwa taken away na haya matukio ya kutengeneza hata wajiingize huko wasahau yao.
 
Hawakupata maendeleo kwa kutumia usanii wa kujifanya unapiga vita ufisadi huku ukirundika kwenu "White elephant projects" ambazo kila unapohubiri maendeleo unaona aibu kuzitaja kama sehemu ya ufanisi wako.
 

Eti CCM asili dhidi ya CCM makinikia(mabaki)... Nimecheka sanaaaa ha ha ha ..
Nakukubali sana mtoa mada, Membe ndio rais ajaye
 
**YEYOTE ANAYETAKA KUAMINISHA WATU MAZURI KALETA YEYE, ASICHUKIE ANAPOAMBIWA MABAYA PIA KASABABISHA YEYE**

πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Embu kwanza niambie mabaya gani haswa unaona uchaguzi ungekuwa leo hasingeshinda.. maana hayo matatu kwangu naona hayafuniki mazuri ambayo wananchi wengi wapiga kura nchini wanaona anafanya.. wala kumshusha kiungozi..

Pia uliyosema wananchi wengi... wewe umeamua tu kusema hauna proof ya hilo.. kwa sababu mfano kama ni viongozi hao wabunge kura zao haziwezi badili kitu.. wakulima pesa wanalipwa zaidi ya walizokuwa wanajua watapata.. hao utawaambia nini lingine now..
Ya pensheni nijuavyo mimi kuna nchi waliostaafu wanaishi kwa kupokea malipo kila mwezi..

Ha ha haaaaaaaa
Naona umepokea dozi ingine

Unaandika kutaka kunishusha.. hata sijui nini kinakuwasha washa juu ya Cocochanel

Hii ni forum.. nitaandika nitakavyo.. na uandishi wangu humu umekufanya upende kunisoma..

Weww tabu yako ni ulishaanza kyisoma namba tangu.. so lolote unalobwabwaja kwangu wewe ni pupwuu mjaa upupwu.

Acha wivu juu yangu.. huniwezi.. jiandikie jisome

Ukinisoma tegemea πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ zaidi na zaidi..

Ulitaka nikufundishe juu ya kuandika ukiwa umefikiria dk 5 mbele.. karibu.. bila kusahau luchungulia nyuma pia..

Huniwezi kabisaaaaaaa.. halafu lazima unaandikaga upupwu kisa wataka kuona upinzani ukipaaa.. unajua haiwezekani.. never.. kaa tu CCM ulipokuwepo tangu uisome namba.. na segerea uende jambwazi.
 

Duh
Kumbe
Wanaisoma namba na kuwashwa washwa..
JPM oyeeeee
 
Acha watu wajadili kwa maana wameamua kumjadili membe
 
Naamini si membe na Magufuli tu watakaochukuwa fomu - kwa nchi yenye watu takribani 50M lzm idadi ndogo ya watakaochukuwa fomu itazidi 3
 
Membe hatoshi kweli maana 2020 utaratibu wa CCM vipindi viwili hawezi kuubadili halafu 2025 kiumri atakuwa na miaka 72.
 
You're such a shameless woman with guttered mind!!!Foolish fool!!
 
tusimlishe maneno.
CCM ni chama imara chenye mfumo madhubuti, mihula miwili ya urais ni sehemu ya utaratibu wa kudumu na unaheshimiwa na kila mwanachama mtiifu wa ccm akiwemo BM kamwe hawezi kuwa muuasi labda awe nje ya ccm lkn sio ndani ya ccm
Unazungumzia utaratibu badala ya katiba? Halafu bado huoni kuna shida hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…