Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania


Kweli tupo huru sisi?
 
Waamuzi 9:8-15
[8]Siku moja miti ilitoka ili kuutia mmoja mafuta uwe mfalme juu yao; ikauambia mti mzeituni, Tawala wewe juu yetu.

[9]Lakini huo mzeituni ukaiambia, Je! Niache mafuta yangu, ambayo kwangu mimi watu wamheshimu Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?

[10]Kisha miti ikauambia mtini, Njoo wewe, utawale juu yetu.

[11]Lakini huo mtini ukaiambia, Je! Niuache utamu wangu, na matunda yangu mazuri, niende nikayonge-yonge juu ya miti?

[12]Kisha miti ikauambia mzabibu, Njoo wewe, utawale juu yetu.

[13]Huo mzabibu nao ukaiambia, Je! Niiache divai yangu, ambayo humfurahisha Mungu na wanadamu, ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?

[14]Ndipo hiyo miti yote ikauambia mti wa miiba, Njoo wewe, utawale juu yetu.

[15]Huo mti wa miiba ukaiambia miti, Kwamba ninyi mwanitia mafuta niwe mfalme juu yenu kwelikweli, basi njoni mtumaini kivuli changu; na kwamba sivyo, na utoke moto katika mti wa miiba na kuiteketeza mierezi ya Lebanoni.
 
Kwa jinsi ninavyoitazama hii series nahisi Membe anaweza kuwa mtanzania wa Pili kuokota Dodo chini ya Mnazi
Mkuu hata wewe ukiwa na gari yako, ukampa dereva ambaye ukaja kugunduwa kuwa anaendesha gari vibaya na kuna hatari ya kutumbukia bondeni, kuna shida yoyote ukimbadilisha na kuweka dereva mwingine na safari iendelee?
 
Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Hujui katiba ya chama inasema mwenyekiti wa chama ndo mgombea urais? Na uchaguzi wa chama kuchagua mwenyekiti ni mpaka 2022 jiwe tunae mpaka 2025
 
Naona project MEMBE ina test mitambo....thread zimekuwa nyingi kweli juu ya membe......MEMBE AWE RAISI KWA LIPI..MNAMUWEKA MATATIZONI MZEE WA WATU ana machafu yake mengi tu
Kuliko haya?
 
Membe tuvushe TANZANIA inakuhitaji ni wewe utakayerejesha tumaini jipya sisi wanaccm wenzio tunakuhitaji upeperushe bendera 2020
Ni vigumu Membe kupenya kwani tayari mtukufu anamuandalia Zengwe kwenye ile tenda ya vitambulisho vya Taifa pia mali na pesa za marehemu Gadafi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…