CCM bila dola na bila Tume hii isiyo huru,hiki kiburi chenu kisingekuwepo na ndio maana mnakwepa swala la katiba mpya.
Tukiwa na tume. Huru CCM haotipata zaid ya 10%
Haya mambo tunayoyafanya Watanzania MATOKEA yake tutayaona, huu mgawanyiko sijui nani atauponya, mipasuko yote huanza kwenye mambo madogo madogo na mwisho wake chuki kamili. Lengo nini hasa? Masilahi? Kyala atutuuleghe
mEMbe At0SHa.
Hata Nelson Mandela alikuwa NdaniKinachofanyika sasa hivi nikuchochea issue ya membe, ionekane ni big deal wamesahau M/kiti yupo ndani
Hiyo ndio itakuwa nafuu yake .Mtamuua mzee meko kwa presha
Jiwe Pressure inapanda huko.Kabisaaaaaa
Ila angeandika kumsifia Membe angekua hajatumwa. Hivi nyie bavicha humo kichwani nuts zimelegea au shida ni nini?Waliosema lowasa fisadi ndio haohao walioimba MABADILIKO LOWASA na ndio haohao leo wanasema lowasa msaliti. Ndio haohao wamehamia kwa Membe for presidency. Ndio haohao wanaosemwa wananunuliwa na ccm kuunga mkono juhudi, Hivi kweli huko hamna hata mwenye akili kuona HICHO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI?Au wote mmetolewa misukule kiasi hamjui hata nini kinaendelea?Umetumwa
Tuli bhiingi nkamu!!!He naati ndi niimwene
Hizo ni taget za watuhumu.Kwahiyo haya kasema membe au unasema wewe safura !!!
Sory safuha
Na ndio maana wafuasi wake walikuwa busy nae kuhakikisha kwamba anaachiwa sasa nyie mko busy membe, membe ...Hata Nelson Mandela alikuwa Ndani
Sawa zuzu uliyepo ndani unaona kila kituWewe upo nje?zuzu
Wanaongea na kivuli cha membe sio membe mzee wa watu yupo kimyaInawezekanaje?Binafsi Sijaelewa Kwamba Membe Anaweza Vipi kumkwamisha Mhe Rais Kwa Kuanza Mchakato Wa Kampeni Mapema Kabla Ya 2020.
Naamini Mhe Rais Anapendwa Na Kuaminiwa Na Sisi Wana CCM Wote Pamoja Na Wananchi Kule Kwenye Vyama Vya Upinzani Na Wale Wasiokua Na Vyama Kabisa