Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wamesha kula kiapo kuwa hawataki katiba
CCM bila dola na bila Tume hii isiyo huru,hiki kiburi chenu kisingekuwepo na ndio maana mnakwepa swala la katiba mpya.