Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Wamepanda chuki unategemea wavune neema?
Haya mambo tunayoyafanya Watanzania MATOKEA yake tutayaona, huu mgawanyiko sijui nani atauponya, mipasuko yote huanza kwenye mambo madogo madogo na mwisho wake chuki kamili. Lengo nini hasa? Masilahi? Kyala atutuuleghe
 
Hii ''meko" imetokea wapi..nahisi kama nimepitwa na kisa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila angeandika kumsifia Membe angekua hajatumwa. Hivi nyie bavicha humo kichwani nuts zimelegea au shida ni nini?Waliosema lowasa fisadi ndio haohao walioimba MABADILIKO LOWASA na ndio haohao leo wanasema lowasa msaliti. Ndio haohao wamehamia kwa Membe for presidency. Ndio haohao wanaosemwa wananunuliwa na ccm kuunga mkono juhudi, Hivi kweli huko hamna hata mwenye akili kuona HICHO CHAMA NI GENGE LA WAHUNI?Au wote mmetolewa misukule kiasi hamjui hata nini kinaendelea?
 
Mgombea Wa CCM 2020 ni Magufuli ila Sina uhakika Wa upinzani Kama Atakua Membe au La?
CCM washajua Hakuna mgombea Wa uraisi upinzani na usishangae CCM wakawa wanamuandaa Membe kuwa mgombea Wa CHADEMA 2020 Na CHADEMA wenyewe wakawa hawajui kama wanatengenezewa mgombea Wa 2020.
Nawashauri waache tu kudeal na mambo ya CCM Kama Membe ni mtu Wa kitengo basi hizi ni plan kabisa unauona mchoro unakoelekea.
Siasa za Tanzania zinatabirika sana kiasi kwamba hata hazinogi
 
Nadhani Membe atawakomesha watu wasiyojulikana. Baba Membe njoo utuokowe watu wasiyojulikana wameizidi nguvu serikali ya jiwe.
 
Akili yangu inaniambia this is a political game ili 2020 kuonekane na competition ndani ya chama maana nje ya chama hakuna ushindani kabisa.

Kwa siasa za Tanzania , sera za chama nguvu za mwenyekiti wa chama hili suala litabakia kuwa story tuu za kufurahisha genge ili mambo yaende there is no way Rais aliyepo madarakani akaletewa upinzani ndani ya chama chake na akashindwa, haliwezekani kabisa.
 
Aisee hapo ndio manyigu ukisikia yameumana na ndio itakuwa historia
 
Inawezekanaje?Binafsi Sijaelewa Kwamba Membe Anaweza Vipi kumkwamisha Mhe Rais Kwa Kuanza Mchakato Wa Kampeni Mapema Kabla Ya 2020.

Naamini Mhe Rais Anapendwa Na Kuaminiwa Na Sisi Wana CCM Wote Pamoja Na Wananchi Kule Kwenye Vyama Vya Upinzani Na Wale Wasiokua Na Vyama Kabisa
Wanaongea na kivuli cha membe sio membe mzee wa watu yupo kimya
 
Back
Top Bottom