Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kumekuwepo tetesi nyingi sana kuhusu Mwanadiplomasia Nguli Camilius Membe kupokea kijiti 2020, lakini pia wapo wanaotumia nguvu nyingi kumkataa ingawa Membe mwenyewe hajasema chochote. Haya ni maneno ya wananchi.

Naona kuzuia mjadala wa membe ni sawa na kuzuia mto kwa kutumia mkono ukiangalia hali ya sasa ya usalama, kiuchumi na kisiasa. Wanaomkataa membe watupe njia mbadala ya kujikomboa toka mikonini Mwa JIWE. Hatumtaki Jiwe. Kama siyo membe, basi mtupeni mbadala.

Tutaipigia Kinyago KURA kuliko kumrudisha jiwe magogoni
 
Leo Wapinzani Na Baadhi Ya Vegetables Narrative Wanasema Membe Anafaa Kugombea Nafasi Ya Urais Na Kusahau Kua CCM Ni Ile Ile Na Katiba Ya Nchi Ni Ile Ile.

Tatizo Hapa Hawezi Kua Mtu Tatizo Linaweza Kua Ni Katiba Pamoja Na Mfumo Mzima,Wapinzani lieni Na Katiba Mengine Yaacheni.
 
Magufuli hana mpinzani.
Wanakwambia Mbadala ni Yule mcongo uZito Mwepes au Yule Tundu la choo
 
Ili mradi huo mbadala usiwe bashite
 
Tunaingia 2019 wadau sio 2020. Mbona kampeni mapema, kwani kuna habari gani?
 
Kweli wamekosa wa kumsimamisha kugombea urais,nimeamini hakuna upinzani Tanzania kwa sababu chama kama taasisi hakuna viongozi wenye sifa mpaka wawachukue wagombea wa CCM kwa staili hii CCM wataongoza milele.
 
Wapi umeona tamko la upinzani kumuunga mkono Membe...Huku kuna kina Malcom Lumumba kina VUTA-NKUVUTE na wengine hao wote ni wana Lumumba wenzako mkuu ila wanampigia debe Membe. Emb maCCM mpambane na hali zenu.
Kila mtu anamg'ang'ania si CHADEMA si ACT wote wafuasi wake wamekaaa kutwa kusujudu na kupost picha zake maana yake nini kama si kumtaka.
 
Hakuna mpinzani anaemtaka Membe........ Majembe tuliyo nayo yanatosha na ni zaidi ya huyo Membe....... Kuna Mimi, Lisu, Mbowe, Lowasa, Sumaye, Zito, Lema, Mnyika, Mdee, Matiko, Zito wote hao ni akili kubwa...........Nyie wenyewe ndo mnampapatikia Membe baada ya Jiwe kuwanyoosha vyema......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…