CCM NI YETU SOTE
#VOTE 4MEMBE2020
hahahahahaha uyo jiwe katunyoosha wote na hata ww hapo umenyooka ndo maana umeanza kujitaja kwenyen wagombeaHakuna mpinzani anaemtaka Membe........ Majembe tuliyo nayo yanatosha na ni zaidi ya huyo Membe....... Kuna Mimi, Lisu, Mbowe, Lowasa, Sumaye, Zito, Lema, Mnyika, Mdee, Matiko, Zito wote hao ni akili kubwa...........Nyie wenyewe ndo mnampapatikia Membe baada ya Jiwe kuwanyoosha vyema......
Mi akili kubwa ndo maana sijiachi na wala sijiweki nyuma..... Ningekuwa rais wenu leo hii mngetamba africa nzima kwa kuwa na rais bora kupata kutokeahahahahahaha uyo jiwe katunyoosha wote na hata ww hapo umenyooka ndo maana umeanza kujitaja kwenyen wagombea
Duh nani huyo aliandika English mbovu kiasi hiki???Wenye wivu jinyongeView attachment 952884
Ww chadema hunamtu wa kuleta haupendi nchi ?Kama CCM wanaipenda hii nchi na chama chao, basi tuleteeni Camillius Membe hapo mwaka 2020!.
Ndio wale wale....Inshahllaaaa
Nawaamini waloandika mengi kuhusu utawala wa nchi yetu kwa sasa na baadae. Tatizo langu ni pale tunaposhindwa kukumbuka hata kwa mifano michache iliyopita!bora membe mara mia moja. majuto ni mjukuu.
Ndio wale wale....
Au asaliti tena kama huyu....
Halafu tuje tumchane tena hapa hapa!...
Sisi bado ndugu zangu ...kumpata !
Nawaamini waloandika mengi kuhusu utawala wa nchi yetu kwa sasa na baadae. Tatizo langu ni pale tunaposhindwa kukumbuka hata kwa mifano michache iliyopita!
Ukimwacha JKN, Mwinyi alisifiwa kuwa angeweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake. Kilichotokea akaondoka na jina jipya LA Ruksa. BWM yeye akaingia kwa wimbo wa kulikomboa taifa, wote tukafurahi. Nakumbuka alimaliza muda wake na mzimu wa Kiwira! JMK naye akaingia kwa Kasi Mpya na Ari Mpya. Ametuacha kama tunavyojiona. JPM kaja na Hapa Kazi tu! Sijaaminishwa kama wimbo wake utakamilika.
Tatizo kubwa si jingine bali Katiba inayoelekeza nchi iendeshwe vipi, na agenda endelevu ya taifa ni nini? Tukitatua hili, nchi itakwenda. Bila hilo, watakuja wengi watatuacha hivi.
Nawasilisha.
Kuna mtu niniliu imembana.Kuna nini kwani!!?
Haki tena Magu aliposhika anakomesha wengi... Raha zaidi masisiem yanaumia zaidi.
haikuhusu we kaa jikoni mpikie mumeo bashite[emoji216] [emoji196] [emoji196]Vipi kwa upande wa Chadema?