Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mnatuchanganya, si alisema ni wa mizimu ya kwao? Pia CCM mgombea uraisi 2020 atagombea bila kupingwa, msije mkawa mnashadadia hili kumbe ni mbinu ya kuua upinzani 2020.

nyumbu waache, washasahau hilo
 
Piga kura Membe vs. magufuli 2020!

Je 2020 ni kazinabata au hapakazitu!

Twende kazi 15/12/2018 tutapata majibu
 
Je! hizi kura za JF ni siri? Usalama kwanza. Halafu iyo KaziNaBata mwenyewe ni Zitto na si Membe. Sema uzi unafutwa in 3...2...1. seconds
 
KAZI NA BATA.... salam za kwanza zimfikie baba yangu akiwa hapo tandale, za pili zimfikie mamdogo alielangua korosho pale mtwara, za tatu ziende kwa wafanyabiashara wote wa pale k/koo na nne na za mwisho zimfikie mwalim wangu wa primary akiwa pale arusha bila kuwasahau ndugu na jamaa zangu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…