Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania



Usiwe mpumbavu wewe, Membe is a useless man, si mchumi ila ni mwizi tu. Jamaa aliiba sana enzi zake na kumchagua yeye ni sawa na kumrudisha Kikwete madarakani. Hatumuhitaji.
 
Hiyo treason/Uhaini....mtajikuta mpo jela sasa hv...kasome vizuri sheria ya makosa ya jinai sura ya 16...
 

Huu ni uhaini kwa serikali tukufu
 
Alfa Lela Ulela, Eposo...Hekaya za Abunuasi. Tangu lini Mgombe wa CCM akapingwa na Mwanaccm mwenzake kabla ya vipindi viwili kuisha !!!!!
 
Sasa nyie mlikuwa mnapiga Soga tu, kwani Jiwe akiamua uchaguzi ni baada ya miaka 20 mtaongea nini?
 
thread nyingine jamani, hivi watanzani jema ni lipi Kwenu ? hivi mazuri yoooote yanayofanyika hatuyaoni. Kukiwa na UFISADI kelele, kukiwa na UDHIBITI na ujenzi wa MIRADI kelele. sasa jema ni lipi kwenu ?
 
Maskini EL., upepo umebadilika... ELIMU; ELIMU; ELIMU,,, fffyekelea mbaliii... MABADILIKOO,,, fffyekelea mbaliii,,, walioimba 'TUNAIMAANII... wametupa jongoo na mti wake... #KaziNaBata",,,wweka ndani... waliyemkataa 2015 anakuwa JIWE LA PAMBENI... mdogomdogo kuelekea 2020... Naomba Mwenyezi MUNGU atuweke hai kushuhudia kauli ya "BWANA HARUSI HAKOSI MSINDIKIZAJI"
 
thread nyingine jamani, hivi watanzani jema ni lipi Kwenu ? hivi mazuri yoooote yanayofanyika hatuyaoni. Kukiwa na UFISADI kelele, kukiwa na UDHIBITI na ujenzi wa MIRADI kelele. sasa jema ni lipi kwenu ?
Jema kwetu ni kuwapunguzia wafanyakazi mafao ya kustaafu na hela ikajenge reli na miradi mikubwa mikubwa.CCM hoyeeeeeeeee!!!.....
 
Mdomo wangu tulia, kwa hili usiongee lolote,
Nitasubiri matokeo itakavyokuwa ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…