Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Wqliokupandisha ndio watakaokushusha
Na wamesha mshusha maana hakuwapa posho yao baada ya kazi ya weekend walio ifanya
Membe ni mrushi na bahili kweli kweli
Na sasa hivi madeal yake yote yame kwama hana resources ya aina yoyote ile walahi
 
Jema kwetu ni kuwapunguzia wafanyakazi mafao ya kustaafu na hela ikajenge reli na miradi mikubwa mikubwa.CCM hoyeeeeeeeee!!!.....
mifuko imejiharibu yenyewe , na kwa taarifa yako, walioingilia kati ni wataalam baada ya kuona kuwa inakwenda kufa. wala MAGUFULI hausiki.hii mifuko ilikuwa inaenda kufa kama DECI ilivyokufa. hata nani angekuwa Rais ingekufa !
 
Mabwege hayo Achana nayo
 
mifuko imejiharibu yenyewe , na kwa taarifa yako, walioingilia kati ni wataalam baada ya kuona kuwa inakwenda kufa. wala MAGUFULI hausiki.hii mifuko ilikuwa inaenda kufa kama DECI ilivyokufa. hata nani angekuwa Rais ingekufa !
chakula murua cha kuku.......
 
Naona sshv watu hawapotei tena..wameshtukiwa
 
Ila ndiyo nyie nyie mlimshutumu sana huyu bwana hafai nimeshagundua sasa ile kauli iliyoandikwa "umasikini hautakoma" ilikuwa inamuhusu nani yani waafrika hamna misimamo kabisa hata hivi leo mnashangilia akipita nitawapa miezi 36 tu mtaanza kuandika vitu vya ajabu humu
 
Shetani mwenye uhutu
 
mifuko imejiharibu yenyewe , na kwa taarifa yako, walioingilia kati ni wataalam baada ya kuona kuwa inakwenda kufa. wala MAGUFULI hausiki.hii mifuko ilikuwa inaenda kufa kama DECI ilivyokufa. hata nani angekuwa Rais ingekufa !
Utakuwa unafikiri kwa kutumia masaburi si bure!
 
Hamna kilichowahi kufikiriwa au kufanywa na nyumbu kikafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…