lakini naye ameona hatafika mbali ndio naye kachagua team mojawapoMwenyekiti alifika kwa kusukumiziwa huko tu, hajui team ni nini.
Yeye ni one-man-team.
Kwa hio Jingalao,Johnbaptist etc ni waokota makopo wa pale lumumba sio?CCM chama kubwa lakin lina wenyew(lowassa ,membe ,kikwetemaster, mkapa,nape,nchimbi na amos makala,mangula,january)wengine wapitaji tu. ...mmoja wapo mimi katika wapitaji
Acha kujitoa ufahamu. Lowasa ni superman ata mwenyekiti wako nae alikiri hadharaniNijuavyo Mimi team Lowassa imefyekwa mmoja ni balozi Brazil mengine alionywa na kufukuzwa uanachama lakini akasamehewa na wengine wote kwa matendo yao walimkatalia kumfuata Chadema hivyo kwa sasa hana ushawishi tena
Mkuu baada ya Lowassa kutokomea Ufipani na Membe kujirudia Ntwara kulima korosho CCM imebaki kuwa Moja na sisi ndio teamCCM.......ukituletea ujingaujinga Segerea itakuhusu!Kwa hio Jingalao,Johnbaptist etc ni waokota makopo wa pale lumumba sio?
Jiwe hayumo CCM?CCM chama kubwa lakin lina wenyew(lowassa ,membe ,kikwetemaster, mkapa,nape,nchimbi na amos makala,mangula,january)wengine wapitaji tu. ...mmoja wapo mimi katika wapitaji
Mwenyekiti alifika kwa kusukumiziwa huko tu, hajui team ni nini.
Yeye ni one-man-team.
Dah huyu jamaa anamaanisha huyo membe kwamba wakimuacha atawasumbua?
Na wakimtoa atawasumbua?