Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nywele nyeupe kichwani ni Heshima ref; bibilia takatifu.

So i think Lowassa inamuhusu maana juzi kafagiliwa sana na pia ana busara na ndio maana haropoki ropoki. Yeye akiongea ni point tu.
 
CCM chama kubwa lakin lina wenyew(lowassa ,membe ,kikwetemaster, mkapa,nape,nchimbi na amos makala,mangula,january)wengine wapitaji tu. ...mmoja wapo mimi katika wapitaji
 
Sasa hivi jiwe ameanza kujikomba kwa Lowassa anajitahidi kumwalika katika matukio mbali mbali na kumsifia ili amsaidie maana maji yako shingoni. Kwahiyo sasa hivi Jiwe anajitambulisha na timu Lowassa hana ujanja lazima aangukie kambi mojawapo ingawa alijidai anaunda mahakama ya kumshughulikia ghafla amejikuta maji yako shingoni na mahakama yake ni kama haina kazi tena
 
CCM chama kubwa lakin lina wenyew(lowassa ,membe ,kikwetemaster, mkapa,nape,nchimbi na amos makala,mangula,january)wengine wapitaji tu. ...mmoja wapo mimi katika wapitaji
Kwa hio Jingalao,Johnbaptist etc ni waokota makopo wa pale lumumba sio?
 
Nijuavyo Mimi team Lowassa imefyekwa mmoja ni balozi Brazil mengine alionywa na kufukuzwa uanachama lakini akasamehewa na wengine wote kwa matendo yao walimkatalia kumfuata Chadema hivyo kwa sasa hana ushawishi tena
 
Huu ndio ukweli,Timu Lowassa bado wapo wengi sana ndani ya CCM.Watu waliumizwa sana na kile kikao cha DODOMA,ilibidi wakubaliane na matokeo ki shingo upande na kuamua kukipigania chama ili hali Lowassa aliamua kuhama.

Wengi waligoma kumfata Lowassa upinzani kwa sababu wanaamini katika chama kilicho walea na kuwakuza.

Kwahiyo ule upinzani wa hizi timu mbili bado upo na ndio maana mhe Jiwe anapigana usiku na mchana kuhakikisha hizi timu mbili haziungani pamoja na kumletea madhara makubwa sana kuelekea 2020.
 
"politics is both an art and science" Discuss it in relation to this topic
 
Kwa hio Jingalao,Johnbaptist etc ni waokota makopo wa pale lumumba sio?
Mkuu baada ya Lowassa kutokomea Ufipani na Membe kujirudia Ntwara kulima korosho CCM imebaki kuwa Moja na sisi ndio teamCCM.......ukituletea ujingaujinga Segerea itakuhusu!
 
Mwenyekiti alifika kwa kusukumiziwa huko tu, hajui team ni nini.
Yeye ni one-man-team.

Mkuu ungesema one-man-show. Maan awamu hii kila kukicha tunaburudishwa na matukio, na vituko.
 
Hana ubavu, ndio maana utotoni Kuna michezo ya watoto Kama mdako, kujificha, ukiti nk membe anaakili hawezi kishindana na dola
Dah huyu jamaa anamaanisha huyo membe kwamba wakimuacha atawasumbua?

Na wakimtoa atawasumbua?
 
Waswahili walisema mshika mawili moja humponyoka na mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Siasa siyo uadui na huu ndio ushauri wangu kwa makamanda wa Ufipa, endeleeni na mazungumzo ya kumsajili maalimu Seif ili akikubali basi mzee Lowassa awe mgombea mwenza. Hesabu za Membe hamtaziweza na Chadema yenyewe ndio itasambaratikia hapo hapo.

Ni ushauri tu hutaki acha!
 
Hata wakiwa na wagombea wenza 2 yaani Membe na Lowassa halafu Seif akawa mgombea urais...watapigwa tu. Kila mtanzania mwenye akili timamu anaona kazi nzuri ya Rais Magufuli.

Hapa Kazi Tu.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom