Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

2020 ni Membe
 
"Wana jamvi tuliochoshwa na huu utawala wa mtawala wa nchi ile hebu tuimbe haka kanyimbo hadi asikie aelewe kuwa hatuutaki uongozi wake na matendo yake"

Nimepita kijiwe cha wana CCM kindakindaki nimesikia wakiimba na kuelezana. Kweli wamemchoka!
Membe kweli... Kwelikweli.... apo jiwe atakuwa anaisi kujikojolea
 
Naomba niwarejeshe katika mifano kadhaa mwaka 2013 Zitto Kabwe,Prof. Kitila Mkumbo na wenzao Samson Mwigamba walifukuzwa uanachama Chadema.

Kamati kuu ya chama hicho ilitangaza hadharani kuwa Zitto na wenzake walikuwa wameandaa mpango wa kumuondoa mwenyekiti wa wakati huo madarakani bila kufuata taratibu za chama na kwamba walitaka kumpindua Mbowe.

Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa japo ilikuwa ni haki ya kikatiba kwa Zitto kugombea nafasi ndani ya chama hicho lakini kufanya kampeni,vikao na mikakati ya ushindani ndani ya chama ilihali kipenga hakijapulizwa lilikuwa ni kosa lililowafukuza.

Lakini ikumbukwe kuwa iwapo tuhuma hizi dhidi ya Membe ni za uongo au zimepikwa na baadhi ya watu ndani au nje ya chama ,suala hili lisiposhughulikiwa kwa busara na maamuzi magumu litaendeleza mpasuko na kukoleza mgogoro ndani ya chama. Lakini chama kikijidhihirisha kuwa kuna mwanachama wao mmoja au kundi Fulani linalopanga kuendesha vikao na mikakati ya urais kabla ya kipenga ,ni wakati muafaka wa kuchukua maamuzi magumu dhidi yao kulingana na taratibu .

Kuutaka urais ni haki ya kikatiba ya Membe ila kosa linaweza kuwa kuendesha kampeni na kupanga mikakati ya ushindani ndani ya chama kabla ya kipenga.
Katika hilo hawezi kukwepa lawama iwapo ni kweli,maana katibu mkuu wa CCM kama mtendaji mkuu wa cham ana wajibu wa kusimamia katiba na taratibu za chama.

Kwa uelewa wangu,katiba na kanuni za CCM zikisimamiwa ipasavyo BM anaweza akajikuta anapoteza vyote.
 
Alishasema atazamisha nusu ya chama kwa siku moja siku wakiimba huo wimbo
Sasa, matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno
Ngoja tuone sisi ni wazeee wa "hands off eyes on" until Oktober 2020
 
CCM mfumo ni uleule..
Zimbabwe wametoa Moga wa ZANU na kumweka Mnangagwa wa ZANU..
Ni upuuzi uleule..
Wananchi hawamtamani hata mwaka bado.
 
In a real sense when you start a battle you need to know and understand your anemy's strength strength and weakness. But for this case I am 100% sure that you either dont understand your enemy or you are underestimating your enemy.
 
Ghadafi anadai pesa yake $20m walahi
 
Hivi tutaacha lini kufuata mkumbo
Kufuata mkumbo ni kawaida ya maisha ya mwanadamu. Amezalwa uchi wa mnyama lakini akaparamia nguo kwa kufuata mkumbo tu, alikuwa ananyonya maziwa lakini akalazimishwa afuate mkumbo na kuanza kula ugali, amezaliwa na bikra yake lakini akafuata mkumbo wa vishawishi ikavunjwa.
Kufuata mkumbo hakutaisha mpaka kiama. Twende na Membe
 
Mnaimbaimba huku ila come 2020, CCM inakuja kumpitisha Jiwe kwa 100%. Akili za wana CCM wanazijua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…