Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?
Na wakifanya hivyo basi watakuwa wameuzika rasimi upinzani, maana kwa ile political damage aliyoifanya Lowasa siku za karibuni tayari imeshawachafua watu nafsi, hawana imani tena na wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damage ipi busara za EL ndo amani yetu hadi sasa angetamka neno tu the hague ingeshapokea wakimbizi toka tz.
 
Chadema wasijaribu tena kuwaalika hao mamluki na kuwapa uongozi wa juu tena waje kama wanachama wa kawaida
 
Akienda huko ni yale yale kama lowasa
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?
 
Isingekuwa ruzuku tungegomea uchaguzi kama tulivofanya kwenye serikali za mitaa.
 
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?

UNATAKA SASA WAKALICHUKUE MAFIA JENGINE ?? πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Membe apambane ndani ya chama Ukawa itafute mtu pure kutoka upinzani membe hana nafasi ndani ya upinzani.
 
Kwanza Membe ana hela za kuwahonga akina Tundu?
Mi nadhani wamfuate mzee wa meno ya Tembo.
 
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.

BABA MEMBE KARIBU UKAWA.

Wadau mnaonaje.!?
UKAWA ilishakufa!
 
Damage ipi busara za EL ndo amani yetu hadi sasa angetamka neno tu the hague ingeshapokea wakimbizi toka tz.
Kama mpaka sasa hivi bado hujaona damage iliyotokana na defection ya Lowassa na Sumaye kutoka upinzani kurudi CCM basi wewe uko kwenye usingizi mzito sana.

Kiufupi wapinzani sasa wana kazi ya ziada sana kuwashawishi wananchi waendelee kuwaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…