data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Waambieni huko wanapoteza muda.Membe Na kina jk wanasema hachomoki MTU, wanapambana ndani ya chama hukohuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambieni huko wanapoteza muda.Membe Na kina jk wanasema hachomoki MTU, wanapambana ndani ya chama hukohuko
Na wakifanya hivyo basi watakuwa wameuzika rasimi upinzani, maana kwa ile political damage aliyoifanya Lowasa siku za karibuni tayari imeshawachafua watu nafsi, hawana imani tena na wapinzani.Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Kama unampenda sana Membe nenda kanywe naye chai.Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Jiwe halitoki bila nyundoTutapambana ndani ya chama kumtoa jiwe madarakani!!!
Damage ipi busara za EL ndo amani yetu hadi sasa angetamka neno tu the hague ingeshapokea wakimbizi toka tz.Na wakifanya hivyo basi watakuwa wameuzika rasimi upinzani, maana kwa ile political damage aliyoifanya Lowasa siku za karibuni tayari imeshawachafua watu nafsi, hawana imani tena na wapinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Isingekuwa ruzuku tungegomea uchaguzi kama tulivofanya kwenye serikali za mitaa.Membe ana jipya gani? povu anazomwaga kwa sasa nivile jiwe kamtoa kwenye ugali hiyo ndio kawaida ya mwanagamba yoyote! ukimkaribisha akishindwa lazima ataunga juhudi....halafu utawala wa hovyo wa jiwe hahitajiki membe kuja upinzani sababu jiwe hashindi uchaguzi sababu kura no ni Dola.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Kwanza Membe ana hela za kuwahonga akina Tundu?Membe apambane ndani ya chama Ukawa itafute mtu pure kutoka upinzani membe hana nafasi ndani ya upinzani.
Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Membe Na kina jk wanasema hachomoki MTU, wanapambana ndani ya chama hukohuko
UKAWA ilishakufa!Njia pekee iliyobaki ni hiyo Kurejesha Matumaini ya watanzania waliokata tamaa na utawala huu.
Badili gia hewani Mbowe. Kama ilivyokuwa 2015 kwa EL.
BABA MEMBE KARIBU UKAWA.
Wadau mnaonaje.!?
Kama mpaka sasa hivi bado hujaona damage iliyotokana na defection ya Lowassa na Sumaye kutoka upinzani kurudi CCM basi wewe uko kwenye usingizi mzito sana.Damage ipi busara za EL ndo amani yetu hadi sasa angetamka neno tu the hague ingeshapokea wakimbizi toka tz.
Wameshaharibu tayariChadema wasijaribu tena kuwaalika hao mamluki na kuwapa uongozi wa juu tena waje kama wanachama wa kawaida