Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hiyo ndo nightmare kubwa ya jiwe na ccm, Lissu hazuiliki labda kwa risasi, na kwa taarifa tu ni kwamba hatarudi Tz kabla ya kutangazwa kuwa mgombea rasmi wa uraisi wa muungano wa upinzani Tz
WEWE JAMAA UPO AKILIN MWANGU..KWA TAARIFA NIKWAMBA, LISSU KESHAPONA, ILA ANACHELEWESHWA ,ANARUDI KUJA KUGOMBEA URAIS UKU ULINZI WAKE UKIWA UMEKAMILISHWA VEMA.

NYUMA YAKE AKIWA NA NGUVU KUBWA YA ULAYA NA MAREKANI .

FAIDA YA YEYE KURUDI WAKAT WA UCHAGUZI NIMBILI

[emoji117][emoji117]RAIA WENGI WATAKUA NA SHAUKU KUBWA YA "ALOPIGWA RISAS"...hii ni faida kwa Lissu kwa kua ana HURUMA YA TAIFA.

[emoji117][emoji117][emoji117]JIWE HATOPATA MUDA WA KUMCHAFUA KWA MBINU ZAO .
 
Watoto wa baba mmoja,Leo yamekuwa haya
Harafu membe yupo kimya.ukiona haya yanatokea,ujue nec inamtaka membe agombee urais ili wale waliopunguzw kwenye nec walejeshwe maana siku hizi wamegeuka kuwa wamachinga na wauza mbogamboga.
 
Nimeeelewa jiwe anataka kufanya "cleaning the house thing" by setting membe up.
But kwa lengo lipi hasa nn target yake?
Mkuu Ivi hujiuliz nguvu na mabilion wanayotumia kununua Wanasiasa pamoja na kuwapoteza kabisaa ..NA LENGO GAN?? IKIWA VYOMBO VYAUSALAMA NIVYAKE???


JIWE ANATAKA KUKAA MIAKA KIBAO ANAYOTAKA YEYE , NDIO MAANA ANAFUATA SIASA ZA RAIS WA CHINA, KUMALIZA UPINZAN NDAN YACHAMA CHAKE NA NJE YA CHAMA.


DAWA YAKE NI MOJA TU...LISSU.
 
Hakuna anaye itakatenaCCM hii. Lakini hizo chokochoko ndani ya CCM ni ishara tosha kwake kuwa wanapmpinga sio Mbowe,Zitto,Heche,Lissu na vyama vyao tuu bali hata ndani ya CCM asili hawamtaki kabisa.
Na ngomaya ndani ni ngumu zaidi kuliko ya nje, hao watoto kama Bashite,Gambo au Polepole ndio wanaweza ngoma inayokesha? mjue hata hawa wazee anao sema WANAWASHWA WASHWA wanamuangalia kwa chati tuu, walimsukumizia wakijua anaujua mchezo kumbe yeye katoka benchi nakujiona kama Ronaldo au Messi shauri yake.
Akishindana na chama chake basi ajue itabidi atumie dola kubaki na hiyo ndio tiketi ya mwisho ya kuharibu maisha ya kwake na vizazi vyake.
 
Teh teh ana nguvu gani sasa?hizo mission za hatari unazosema zilizoshindwa kumfanya akavuka ndani ya CCM 2015 ni zipi tena rafiki yake kipenzi JK akiwa mwenyekiti wa CCM.

Kama angekua na hizo mission za hatari unazosema kwaninihao hao TISS hawakumpigania mpk atoboe kwny michuano instead akapigwa chini kama kawa.

Membe hata kwa ubavu na lowassa kwny mikakati hamuwezi hata kidogo,cheki Lowassa baada ya kapigwa chini na CCM kumbe ana plan B yake kwenda CDM fasta tu wkt Membe yeye yuko Mtama huko.Huyo mtu unamsifiaje ni mtaalam wa strategy?

By the way mtasalimia Mzee Hassy Kitine nadhani unanielewa hapa.

Hio kamati kui ya pwani na kusini inakaa lini ili nije nikukumbushe hapa.
 
Matarajio kwa chadema ni lisu kugombea uraisi 2020.jiwe hatochomoka kwa huyu mhe lissu.
 
Duh nitafurahi sana kama mtamuondoa jiwe, maana anachofanya mimi sijakiona kwa kweli.
 

Membe ndiyo mtu pekee anaweza kurudisha diplomasia iliyopotea , nchi yetu inahitaji ushirikiano na mahusiano mazuri na nchi nyingine kwa maswala ya uwekezaji
 
Hahahahahaaaaaa! Mbona nawaona kama nyie na Membe wenu wote ni vichaa!! Membe awe Rais wa Nchi gani? Tanzania hii hii? Hahahahaaaaaa. Jiandaeni kuaibika. Hakunaga hiyo kitu mnajisumbua tu.
 
Yap hiyo game nimeshaisoma ndio maana nimetoa concept ya kusafisha nyumba. Anaondoa kila aina ya mapingamizi yatakayo mzuia yeye kuendelea kutawala
 
Membe awe na uwezo wa kimataifa kuliko Mahiga??!! Hii nayo mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…