Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kumchagua tutchagua, saizi tunafatilia boost za Ulaya ,kwa nguvu zetu hatuwezi .Ues he is clean in his body and soul, why can't we elect this intelect man?
Hata mgabe asingetoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumchagua tutchagua, saizi tunafatilia boost za Ulaya ,kwa nguvu zetu hatuwezi .Ues he is clean in his body and soul, why can't we elect this intelect man?
KabisaKuna watu wanajidanganya sana. Membe atafute kitu kingine cha kufanya...
Mpaka 2025 labda
Membe for presidency
Watoto wa baba mmoja,Leo yamekuwa haya2015 ulikuwa hujazaliwa au umepata amnesia?
Bloody fool walahi
satire? or you really are serious..!
WEWE JAMAA UPO AKILIN MWANGU..KWA TAARIFA NIKWAMBA, LISSU KESHAPONA, ILA ANACHELEWESHWA ,ANARUDI KUJA KUGOMBEA URAIS UKU ULINZI WAKE UKIWA UMEKAMILISHWA VEMA.Hiyo ndo nightmare kubwa ya jiwe na ccm, Lissu hazuiliki labda kwa risasi, na kwa taarifa tu ni kwamba hatarudi Tz kabla ya kutangazwa kuwa mgombea rasmi wa uraisi wa muungano wa upinzani Tz
Harafu membe yupo kimya.ukiona haya yanatokea,ujue nec inamtaka membe agombee urais ili wale waliopunguzw kwenye nec walejeshwe maana siku hizi wamegeuka kuwa wamachinga na wauza mbogamboga.Watoto wa baba mmoja,Leo yamekuwa haya
Mkuu Ivi hujiuliz nguvu na mabilion wanayotumia kununua Wanasiasa pamoja na kuwapoteza kabisaa ..NA LENGO GAN?? IKIWA VYOMBO VYAUSALAMA NIVYAKE???Nimeeelewa jiwe anataka kufanya "cleaning the house thing" by setting membe up.
But kwa lengo lipi hasa nn target yake?
Teh teh ana nguvu gani sasa?hizo mission za hatari unazosema zilizoshindwa kumfanya akavuka ndani ya CCM 2015 ni zipi tena rafiki yake kipenzi JK akiwa mwenyekiti wa CCM.Hivi katiba ya chama chini ya mwenyekiti huyo huyo haiwezi kumuondoa mwenyekiti???
Ungekuwa pia una muelewa Membe vizuri kindaki ndaki ungeona kuwa membe ni zaidi magu. Missions zake ni za hatari... Viongozi wenyewe wana fahamu... Magu Ana fahamu... Ni mkimya mwenye hatari ndani yake...
Nisimuongee Sana... Subirini kamati kuu ya wana pwani na kusini... Ndipo utajua msukuma Ana nguvu... Au Kama maneno yasemayo msukuma msukume arudi kwao mwanza...
Stay there bro... Usiwe na haraka... Hakuna linalo shindikana chini ya jua...
Matarajio kwa chadema ni lisu kugombea uraisi 2020.jiwe hatochomoka kwa huyu mhe lissu.WEWE JAMAA UPO AKILIN MWANGU..KWA TAARIFA NIKWAMBA, LISSU KESHAPONA, ILA ANACHELEWESHWA ,ANARUDI KUJA KUGOMBEA URAIS UKU ULINZI WAKE UKIWA UMEKAMILISHWA VEMA.
NYUMA YAKE AKIWA NA NGUVU KUBWA YA ULAYA NA MAREKANI .
FAIDA YA YEYE KURUDI WAKAT WA UCHAGUZI NIMBILI
[emoji117][emoji117]RAIA WENGI WATAKUA NA SHAUKU KUBWA YA "ALOPIGWA RISAS"...hii ni faida kwa Lissu kwa kua ana HURUMA YA TAIFA.
[emoji117][emoji117][emoji117]JIWE HATOPATA MUDA WA KUMCHAFUA KWA MBINU ZAO .
Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!
Nikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.
Acheni mawazo duni. Mbona babu zetu waliamini Nyerere na wenzake wangeweza kupindua meza kibabe ya mkoloni. Iliwezekana vipi?Ni mikakati kabambe inahitajika na siyo jambo la kitoto.
Sababu za Membe kufanikiwa hili ni nyingi kuliko kushindwa kwake.
1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
2. Kukosekana kwa utengamano wa kweli
3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa
4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania
5.nk
........... itaendelea(nitafafanua)
Hahahahahaaaaaa! Mbona nawaona kama nyie na Membe wenu wote ni vichaa!! Membe awe Rais wa Nchi gani? Tanzania hii hii? Hahahahaaaaaa. Jiandaeni kuaibika. Hakunaga hiyo kitu mnajisumbua tu.Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!
Nikiangalia kwa upande wa CCM Mwanadiplomasia Bernard Membe ndiyo mtu pekee anayeweza kupindua meza kibabe pale CCM.
Acheni mawazo duni. Mbona babu zetu waliamini Nyerere na wenzake wangeweza kupindua meza kibabe ya mkoloni. Iliwezekana vipi?Ni mikakati kabambe inahitajika na siyo jambo la kitoto.
Sababu za Membe kufanikiwa hili ni nyingi kuliko kushindwa kwake.
1. Kutokubalika kwa Magufuli ndani na nje ya CCM
2. Kukosekana kwa utengamano wa kweli
3. Nia ya kuirudisha Tz kimataifa
4. Nia ya kurudisha mchakato wa Katiba ya Watanzania
5.nk
........... itaendelea(nitafafanua)
weka masahihisho hapo ili twende sambamba.. na usiishie kusema tu ningeandika kwa kiswaz nasubiri majibuMkuu bora ungeandika kwa kutumia Lugha ya Taifa!
Mkuu Ivi hujiuliz nguvu na mabilion wanayotumia kununua Wanasiasa pamoja na kuwapoteza kabisaa ..NA LENGO GAN?? IKIWA VYOMBO VYAUSALAMA NIVYAKE???
JIWE ANATAKA KUKAA MIAKA KIBAO ANAYOTAKA YEYE , NDIO MAANA ANAFUATA SIASA ZA RAIS WA CHINA, KUMALIZA UPINZAN NDAN YACHAMA CHAKE NA NJE YA CHAMA.
DAWA YAKE NI MOJA TU...LISSU.
Membe awe na uwezo wa kimataifa kuliko Mahiga??!! Hii nayo mpya.Kumekuwa na ubishani mkubwa kwamba Membe hawezi kumtoa Magufuli 2020 kwa sababu katika historia ya Tanzania hilo halikuwahi kutokea. Mimi nasema hapana,yote yanawezekana na sababu zipo lukuki!