Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

prof .mark james mwandosya
 
Huuu ujana jamani hamuutendei haki.
Miaka zaidi ya 50 bado unamuita kijana?
 
(Idiotism at work,you just think about your loaf and not your future), Membe is the best president ever compared to Jiwe

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Dr Magu!!!!!! Ona huku kuna vichwa maji wanaanza siasa!! Baba jesca njoo huku usikie!! Wanaaanza kuwanga kweupeeeeee!!! Wasubiri 2025!! Au tumeishanyooka?
 
mkuu yuko kwa maslahi ya nani? mbona wanyonge wanalia? korosho bei mbaya. kahawa ndo usiseme. kama mnakula kwake mteteeni mkuu ni haki yenu ila sisi watu wetu hali mbaya kiuchumi.
Kwa hiyo korosho na kahawa ndio kashusha bei?
 
Ok.lakini katiba inawawezesha.Ndio maana akina Mbalawa na Hussein Mwinyi wanapigiwa chapuo ya kupitishwa urais.Au kama vipi,Katiba ingebadilishwa ili iwe kama unavyotaka
wakagombee kwao kisiwandui zanzibar. Watanganyika tuna watu wa kutosha
 
Jitokeze wazi tusikie kauli yako watanzania tufarijike kwani mwaka 2020 ni jirani sana
Sometimes muwe mnaacha kujitoa ufahamu. Kauli ya Membe itakufariji vipi? Membe huyu si lolote si chochote. Magufuli keshaiteka CCM yenu na hata kina Mkapa hawapumui. Mnae tu atleast until 2025
 
Kwa tikiti ya chama gani? Mnataka kumgombanisha na baba jesca?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…