uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Membe ndio angeharibu zaidi....hii nchi ingekuwa kama Zimbabwe au Venezuela mkuuHata kwa akili za kuazima tu mkuu,unamwona Magufuli anafaa kabisa kutuvusha?
Kaharibu kila kitu kwa muda mfupi tu,watu wanateseka mitaani na ugumu wa maisha mnawaita wapiga dili mirija imefungwa,can't you be serious?
Mama lishe,muuza mchicha nao walikuwa serikalini wakipiga dili?
Acheni utani na mambo mazito ya nchi,Magufuli hafai kabisa
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
...I don't buy this ideaMembe for president 2020
Maandiko matakatifu yanasema hivi , " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " kwa namna unavyoandika humu kila siku ni kama unamtegemea Magufuli kuliko hata moyo wako unaokusaidia kuishi , Magufuli , mtu ambaye yeye mwenyewe binafsi wala wazazi wake hawakuwahi kuijenga ccm ni nani katika ccm , hata isiwezekane kung'olewa ? kwa taarifa yako huyu aliyeua chama kwa kutegemea polisi anang'oka kirahisi mno , hana mizizi yoyote , haungwi mkono na wastaafu wala hata kanisa analosali .
Huyo atosha huko kwao Chattle25/10/2020
Chagua John pombe Magufuli
JPM ATOSHA ✓
Hakika Membe Katuunganisha Bavicha Na Uvccm
Tupo pamoja kwenye hili. Nnasikitika sana kuona watu wanawapigia promo watu wazee waje kuwa marais. Tukubali tukatae ili nchi yetu isonge mbele zaidi tuachane na hawa wagombea wazee watatuchelewesha sana. Maana wengi wao mitizamo yao ni tofauti sana na speed ya mabadiliko ya mambo inayoendelea kwa sasa dunianiTunataka Rais KIJANA!
Rudia kusoma upya mkuu..binafsi namkubali Membe zaidiKwahiyo ukimwelewa wewe maanake watz wote million 59 tumemkubali????? Akili za watz mungu ingilia kati uwiiii