Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwanini tuishi ktk wkt uliopita, tunahitaji reli na uboreshaji wa miundombinu sasa kuliko hata hiyo miaka ya 70,

Yaani unaamini kashoggi ni suala nyeti zaidi kuliko mambo yetu ya ndani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????
Ujenzi wa reli ilitikiwa iwe topoc ya majadiliano miaka ya 70-80.Ni aibu kwa mtu mwenye uelewa na exposure kujadili ujenzi wa reli,tulitakiwa tuwe nayo hyo reli miaka 20-30 iliyopita.
 
Membe atakuwa ameamua jiwe atembee na panadol kila mahali maana huu upepo sio wa kawaida.
 
Bernard Membe, sikia kilio toka kwetu,
Ni sisi vijana tusio na ajira na tuoiokosa matumaini,

Ni sisi Wafanyabiashara tuliokatika mazingira magumu na unyanyasaji toka kwa mamlaka za serikali,

Ni sisi Wana CCM tuliokosa imani na Mwenyekiti wa sasa,

Ni sisi Wanafunzi tuliokosa mikopo,

Ni sisi Wakulima wa korosho, tusiojua korosho zetu tuzipeleke wapi,

Ni sisi Wavuvi tunao nyanyaswaa kila kukichaa,

Ni sisi waandishi wa habari tunaonyanyaswa na kuteswa kutokana na kuandika ukweli,

Ni sisi wazazi tuliopoteza vijana wetu kwa kupotezwa na wasiojulikana,

Tunaomba Mh Membe, usikike kilio chetu Watanzania tuliokosa Matumaini katika Nchi yetu. Tinajua tunakupa mzigo mkubwa na kukuweka katika mazingira hatari.

Lakini kwakua Watanzania tunakuhitaji, hunabudi kubeba mzigo huu uutuee.

Tuna amini kwa busara na uelewa wa nyanja za kimataifa, Nchi yetu itakuwa salama mikononi mwako.

#MembeForPresidency2020

#JiweMustGo
 
#MembeForPresidence2020

#JiweMustGo
 
Hakika ni tumaini jipya kwa watanzania anapaswa kuungwa mkono na kila mpenda maendeleo hii ni kutokana na ukweli kwamba ni mtu mwenye mtazamo wa kimataifa na mwenye uwezo wa kurudisha heshima ya nchi yetu kidiplomasia.
Mmeng'ang'ana kimataifa kimataifa kwan tunataka kuchagua Rais wa dunia au Tanzania?... Hana sifa nyingine tofaut na hiyo?.....
 
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: angekuwa membe ubalozi Israel Tanzania isingefungua. Hili ni hivyo hata kama mwalimu angekuwa hai achilia mbali kuwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…