Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ndiyo wasiwasi wangu ni huoAhahahaaaa huenda ID yake imedukuliwa
Akili za watanzania ni sawa na Nyumbu tuMembe ni mara elfu, lkn sio huyu limbukeni wa madaraka
mimi sijui lini watu wamejioganaizi kiasi hiki!Hii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.
[emoji120] [emoji120]Hapana mkuu
Huwa siangalii mipira
Bado nabaki mdomo wazi, sijui imechomokea wapiHii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.
Anatakiwa akemee. Akinyamaza kimya ni yeye kawatuma.Nina mashaka wanaoleta thread za Membe ni haters wake wanataka wamgombanishe amalizwe mchana kweupe.
muda utasemaNi
Upepo tu utapita
Vumilia tu msukule wa Lumumba
Kuna kituHii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.
Watz ndo walivyo, hadi wazungu wanawambia wanatawaliwa na dikteta lkn hakuna anayetoka barabarani kumng'oaAkili za watanzania ni sawa na Nyumbu tu
Yani zimeanza ghafla bin vuu kuna kitu nyuma ya pazia aisee wametumwaNikajua ni mimi pekeyangu ambaye sielewielewi.
Kabisa aisee yani ghafla tu ka si kumvuruga jiwe au Membe mwenyewe!!?Sio bure kuna watu wamejazwa wakajazika
Na hilo ndo lengoNina mashaka wanaoleta thread za Membe ni haters wake wanataka wamgombanishe amalizwe mchana kweupe.