Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Binadamu hawana wema walimtusi kikwete sana tuu ila sasa wanamkumbuka, magufuli ataondoka hakai milele ikulu akija mwengine mtasema heri magufuli... Membe hana jipya wala hana mvuto wowote kisiasa na aliyemshauri kuanzisha harakati zake saahizi basi timing hajui maana ndo anapotea rasmi kwenye siasa kama lowasa.
 
..mavi huwa saa zingine yanagonga chupii..na chooo kiko mbaliii...
 
Back
Top Bottom